mpiga dili mzoefu
Senior Member
- Dec 28, 2016
- 123
- 104
Nataka kujua ili niweze kufanya reconsilliation
Unauliza au unatoa taarifaJamani bodi ya mikopo wameshafungua tovuti yao
NaulizaUnauliza au unatoa taarifa
Fungua utapata jibuNauliza
Wanaostahili wanakuwa na sifa zipi tofauti na wasiostahili?Nimeipitia hotuba ya bajeti ya wizara ya elimu kwa mwaka 2017/18 hawajaweka wazi kiwango mahsusi kwa ajili ya bodi ya mikopo. Ila wamesisitiza tu kwamba wataendelea kutoa mikopo kwa "wanafunzi wanaostahili" tu.
Pray for the best but prepare for the worst.
Hasa ukizingatia udahili utafanyikia vyuoni hilo ni wazo zuri sana na limekuja wakati muafakaNataka kujua ili niweze kufanya reconsilliation
Wanaostahili wanakuwa na sifa zipi tofauti na wasiostahili?
Mkuu ukipata jibu ni tagWatu wanaosomea diploma je watapata mikopo?
Bodi ya mikopo mafala tuMkuu subiri watoe criteria zao utazisoma na mara baada ya zoezi la uombaji kuisha na mikopo kutolewa utapima yaliyotokea kama yana sadifu vigezo walivyovitaja. Sitaki kukukatisha tamaa wala kukujaza matumaini. Kama ni muombaji basi kazana kujiombea dhidi ya hii bodi
Watakaopata ni around 30%Nataka kujua ili niweze kufanya reconsilliation