Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Nani yupo nyuma ya huu mchakato mchafu wa kumchafua waziri wa Afya Ummy Mwalimu?

Kwa maoni yangu Waziri Ummy japo sio mhalisia katika sekta ya afya ...yaani sio mtaalamu wa afya lakini amejitahidi sana kuielewa sekta hii.ameitendea haki kwa kadri ya kipaji alichonacho.

Japo naona na napata hisia yupo mtu anayetaka atoke na mtu huyo anampiga majungu kimya kimya lakini pia kwa kuibua habari chonganishi za sekta ya afya akiwa na lengo la kuonesha Waziri hafai.Je mtu huyo ni nani?anataka nini na je anao uwezo wa kuisimamia sekta ya afya kuliko UMMY?

TUJADILI KWA HAKI!!
 
Nimuombe Mhe.Rais atumie vyombo vyake maalumu na sio vile vya kawaida kupata ukweli juu ya suala hili.
Tanzania ya sasa tumekuwa na watu laghai,wasiofikirisha vichwa,wanaonyakua kelele za wanasiasa uchwara kupitia mgongo wa CCM na hatimaye watendaji wazuri wanahukumiwa na kubambikiziwa kesi za uongo ili tu mitandao flani iweze kumea.Ifike mahali tukatae huu uhuni kwa maslahi mapana ya TAIFA.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Nani yupo nyuma ya huu mchakato mchafu wa kumchafua waziri wa Afya Ummy Mwalimu?
Kwa maoni yangu Waziri Ummy japo sio mhalisia katika sekta ya afya ...yaani sio mtaalamu wa afya lakini amejitahidi sana kuielewa sekta hii.ameitendea haki kwa kadri ya kipaji alichonacho.
Japo naona na napata hisia yupo mtu anayetaka atoke na mtu huyo anampiga majungu kimya kimya lakini pia kwa kuibua habari chonganishi za sekta ya afya akiwa na lengo la kuonesha Waziri hafai.Je mtu huyo ni nani?anataka nini na je anao uwezo wa kuisimamia sekta ya afya kuliko UMMY.??
TUJADILI KWA HAKI!!
Kikulacho kinguoni mwako alisikika mr nice.....!
 
😂😂😂Hana uwezo
Elimu ndogo na kujikombakomba
Nakumbuka mwaka flan,ndo anaigia magu,kabla hajapanga baraza la mawaziri,alikuja ofcn kwangu,kituo nilichokuwa wakati huo,niko kinda kabisaa,binti mbichi,ndo naanza kazi nina morale kushinda morani

Bosi akanituma niitishe jalada lake,nikaingia mwenyewe front,manake hawa masekretare yakianza kutombwaah na mabos dharau zinazid,

baada ya dk 5 nikaibuka na jalada nikamkabidhi boss,akalipitia,akaniita ,akanipa maelekezo ya kufanyia kazi chapu kwa haraka aondoke na nyaraka zake kwenda makao makuu,

nikapokea maelekezo nikaanza kuyafanyia kazi,hapo chumba cha ofic ni kimoja,so wanayozungumza na boss,nikawa nayasikia.

Boss akamwuliza;vp kwa mzee huyu utatoboa?(Mzee Magu) Akajibu;dah mtihani,si wamjua,Ila mkwere(JK) nimeongea naye kasema atanisaidia

Lol;kumbe alikuwa chombo Cha mkwere,kweli after 2 weeks ,magu akatangaza baraza la mawaziri,akawekwa na Dorothy gwajima kusimamia wizara ya afya kabla haijatenganishwa(mambo ya
Kipochi manyoya)
Since that day,i disgust her,she incompetent 🙏👁️
 
Namuona mrembo Ummy hana baya na mtu halafu anatekeleza majukumu yake kiweledi sana(muono wangu) ila wapo watu wanamtafutia baya kila siku iendayo kwa mola.AU MIMI NDIO SIJUI YA NYUMA YA PAZIA??
Umeshapewa hela ya ada ya watoto wako, naona umekuja kumtetea humu. Hata hivyo huna ushawishi wa hivyo useme utetezi wako utakuwa na nguvu yoyote. Ummy achafuliwe kwani ana usafi gani?
 
Nadhani kuna watu wamenusa kuna mabadiliko ya baraza hivyo kama wanataka kuinfluence maamuzi fulani ya kumtoa Ummy. Hao kina Mange na Martin wanatumika kupush ajenda za watu. Kiukweli Ummy anajitahidi sana katika hii sekta, its one of the best Ministers wanaomsaidia Mhe Rais, ana weledi, very professional na ana passion ya anachokifanya. Hizi hoja wanazomchafua nazo sio za level ya Waziri, ni za kumalizwa huko chini kwenye CHMT na RHMTS's. Nashangaa sana kuona daktari amekuja kazini amelewa analaumiwa Waziri. CCM kuchafuana ni jadi yao, mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Ummy hapo Afya anatosha na kwasasa sioni kama kuna wa kumbadili.

Nawasilisha
 
Umeshapewa hela ya ada ya watoto wako, naona umekuja kumtetea humu. Hata hivyo huna ushawishi wa hivyo useme utetezi wako utakuwa na nguvu yoyote. Ummy achafuliwe kwani ana usafi gani?

Mhe Tindo nakuheshimu sana. Hebu tujadili bila hisia hapa. Kwa mfano hospitali ina vitanda 12 vya kulaza waliojifungua na kwa kipindi cha mwaka mzima vimekua vinatosha. Mara ghafla leo wamekuja wazazi 13, overflow ya mmoja, je kama wewe ndio daktari mtampa rufaa aende sehemu ingine au mtamhudumia? Hapo kosa la Waziri linakua ni lipi?
 
Hoja mama gwajima ndio anaweza jibu

Huyu alishindwa hata kabla hajaanza. Tatizo watanzania bar yetu ya kupima utendaji iko chini sana. Yani mtu akishafuatilia ishu mbili tatu za kwenye instagram anaonekana mtendaji. Give me a break, hizo sio kazi za Waziri, waziri anatakiwa atengeneze mifumo ya kusaidia hao watu na sio one man show. Zile za Gwajima ni stunts ambazo zilimsaidia wakati wa Chuma now kwa Samia haziwork.
 
Namuona mrembo Ummy hana baya na mtu halafu anatekeleza majukumu yake kiweledi sana(muono wangu) ila wapo watu wanamtafutia baya kila siku iendayo kwa mola.AU MIMI NDIO SIJUI YA NYUMA YA PAZIA??
😂😂😂Sasa kama ni mrembo si akasimamie miss Tanzania 🙏@afya na urembo wapi na wapi?mtu ashazoea kushinda anapaka Hina vidoleni na kucheza taarabu,na elimu,Tena sayansi wapi na wapi?

Ahhh atupishege,aende zake akacheze mdumange Tanga
Afya ni science,ni shule,ni performance,sio uganga Wala kupiga ramli🙏🙏👁️
Atupisheee
Apewe hata umatroni huko ikulu,siyo kucheza na afya za watanzania,inaumaa Sana kuongozwa na form foo felia aka vilaza🙏🙏🙏
 
Huyu alishindwa hata kabla hajaanza. Tatizo watanzania bar yetu ya kupima utendaji iko chini sana. Yani mtu akishafuatilia ishu mbili tatu za kwenye instagram anaonekana mtendaji. Give me a break, hizo sio kazi za Waziri, waziri anatakiwa atengeneze mifumo ya kusaidia hao watu na sio one man show. Zile za Gwajima ni stunts ambazo zilimsaidia wakati wa Chuma now kwa Samia haziwork.
We mpumbavuuu😂😂
Mxiuuu huyo umy mayala katengeneza mfumo gani kenge wewe
Endelea kulamba masaburi mjalaana wewe mziiuuu
Maskin kibudu🙏
 
Hana uwezo
Elimu ndogo na kujikombakomba
Nakumbuka mwaka flan,ndo anaigia magu,kabla hajapanga baraza la mawaziri,alikuja ofcn kwangu,kituo nilichokuwa wakati huo,niko kinda kabisaa,binti mbichi,ndo naanza kazi nina morale kushinda morani

Bosi akanituma niitishe jalada lake,nikaingia mwenyewe front,manake hawa masekretare yakianza kutombwaah na mabos dharau zinazid,

baada ya dk 5 nikaibuka na jalada nikamkabidhi boss,akalipitia,akaniita ,akanipa maelekezo ya kufanyia kazi chapu kwa haraka aondoke na nyaraka zake kwenda makao makuu,

nikapokea maelekezo nikaanza kuyafanyia kazi,hapo chumba cha ofic ni kimoja,so wanayozungumza na boss,nikawa nayasikia.

Boss akamwuliza;vp kwa mzee huyu utatoboa?(Mzee Magu) Akajibu;dah mtihani,si wamjua,Ila mkwere(JK) nimeongea naye kasema atanisaidia

Lol;kumbe alikuwa chombo Cha mkwere,kweli after 2 weeks ,magu akatangaza baraza la mawaziri,akawekwa na Dorothy gwajima kusimamia wizara ya afya kabla haijatenganishwa(mambo ya
Kipochi manyoya)
Since that day,i disgust her,she incompetent

Mtu yoyote anaweza kusema haya. Huu ni uzushi, JK hakuwa na uwezo wa kuinfluence maamuzi ya JPM, kila mtu anajua hilo hata hiyo Ummy anajua kuwa hakuna kosa angefanya kama kumuomba JK amlobby JPM. Acha wivu na husda kwa mwanamke mwenzio. Ukweli hakuna Waziri amewahi kuimudu hii sekta kama Ummy, anabebwa na utendaji wake, rekodi na takwimu ndizo zinazombeba. Aliondolewa hapo wote tunajua Chanjo ya UVIKO-19 ili doda, aliporudi mpk WHO walikubali wenyewe. Huyu mama hata kama hatumpendi tumpe maua yake akiwa hai, tusitake kumtoa kwa kashfa, tumuogope Mungu.
 
Back
Top Bottom