Mwaka 2021: Tutaukumbuka kwa kifo cha Mwenyekiti wa CCM hayati Magufuli na kesi ya Ugaidi ya mwenyekiti wa Chadema!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,940
141,915
Ni mwaka tutakaoukumbuka kama mwaka uliojaa majanga.

1. Kifo cha mwenyekiti wa CCM hayati Magufuli

2. Kukamatwa kwa mwenyekiti wa Chadema kwa tuhuma za ugaidi mh Mbowe

3.Kukamatwa kwa DC wa Hai mh Ole sabaya

4. Polisi wazalendo kuuawa na gaidi Hamza

5. Na kadhalika, na kadhalika.

Nawatakia sabato yenye baraka!
 
Hakiak matuki ni mengi sana...

Ila Story hua huisha na kumbukumbu kusahaulika...
 
Ni mwaka tutakaoukumbuka kama mwaka uliojaa majanga.

1. Kifo cha mwenyekiti wa CCM hayati Magufuli

2. Kukamatwa kwa mwenyekiti wa Chadema kwa tuhuma za ugaidi mh Mbowe

3.Kukamatwa kwa DC wa Hai mh Ole sabaya

4. Polisi wazalendo kuuawa na gaidi Hamza

5. Na kadhalika, na kadhalika.

Nawatakia sabato yenye baraka!
Acha nongwa, acha mwaka uishe! Who knows? Tunaweza kuwaa na serikali MPYA pia
 
Nchi kaiharibu huyo nyang'au kwa kutuletea siasa za chuki na visasi. Eti hajaribiwi !! Where is he now ?!

Mungu fundi mkuu

Usituharibie sabato takatifu
Ndugu yangu, nikukumbushe tu, hakuna binadamu ambaye ataishi milele hapa duniani. Hata wewe utakufa, na hujui ni muda gani kuanzia sasa na utakufa kifo cha namna gani?
Kutoa matusi kwa mtu alotangulia mbele ya haki si uungwana wala ujanja.

Hivi weye unadhani kufa ni adhabu? Kuwa Mungu kamkomoa Magufuli. Na unadhani tuliobaki sisi ndo watenda mema?
Hakuna sehemu ktk vitabu vitakatifu vinasema; Anae tangulia kufa ni mtenda maovu.
Na wabakio ndo wema. Alitenda kwa wakati wake kaondoka. Nawe tenda mema kwa wakati wako usiojua ila utakufa tu. Na hujui uenda ukafa kifo kibaya kuliko cha huyo unae mkashifu.

Kila siku nasema, Mch. Mtikala alikashifu kufa kwa Nyerere lkn baada ya miaka 15 mbele akafa kifo cha ghafla cha ajali.
Tufikirie na kutafakari maneno yetu kabla Mwenyezi Mungu muweza wa vyote ajatoa maamuzi yake.
 
Ni mwaka tutakaoukumbuka kama mwaka uliojaa majanga.

1. Kifo cha mwenyekiti wa CCM hayati Magufuli

2. Kukamatwa kwa mwenyekiti wa Chadema kwa tuhuma za ugaidi mh Mbowe

3.Kukamatwa kwa DC wa Hai mh Ole sabaya

4. Polisi wazalendo kuuawa na gaidi Hamza

5. Na kadhalika, na kadhalika.

Nawatakia sabato yenye baraka!

Kudema kazini
 
Kifo Cha Magu kilileta kicheko na furaha kwa wengi
 
Back
Top Bottom