Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,136
- 6,922
utaachwa, wa mahali ulale, wakat wa bure ulikuwa unavunja viuno, utapata taaabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
utaachwa, wa mahali ulale, wakat wa bure ulikuwa unavunja viuno, utapata taaabu sana.
umeshapata au??kama bado ni PmYaani .final destination in everything!
Mungu ni mwema.
Miss nimepata
Kwaherini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaa uzee babuutaachwa, wa mahali ulale, wakat wa bure ulikuwa unavunja viuno, utapata taaabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke anatakiwa awe na waume wangapi Mkuu?umeshapata au??kama bado ni Pm
Hiyo avater yako inaleta raha sanaa utafikiri duniani hakuna matatizo 😂😂😂😂😂Yaani .final destination in everything!
Mungu ni mwema.
Miss nimepata
Kwaherini.
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀 eti VIP, miss wewee, basi nipasie huo huo VVIP nihangaike nao😀😀Sina kazi nayo. Nitaitesa tu bure.japo kuna mchepuko mmoja ni VIP sana yaani. Nitaumiss sana.ulishanisaidia vibaya mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Hallelujah
No more tears my dearest! Hii inaitwa final destinationUsije kulialia tena maana haya maandishi ni kumbukumbu tosha, kila la heri
Sent using Jamii Forums mobile app
Dua'a niliyokuombea imeitika..... shukuru mola wako!!Ni kweli asepe tu ila tushakula advance ya mahari.mbona nilishamegwa bure wakasepa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ni wa neema sana.yaani ukitaka kitu usiwaze sana kitupe kwenye universe acha nguvu za MUngu zishughulike nachoHallelujah
Mungu akujaaliee furaha daima jamaniMungu ni wa neema sana.yaani ukitaka kitu usiwaze sana kitupe kwenye universe acha nguvu za MUngu zishughulike nacho
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nashangaa mkuu inamana uyu kapata alafu anakimbia humu itafika mahali wanawake wote watakimbia humu[emoji14] [emoji14] [emoji14]
Amen amen.love you sakayo.nakuombea baraka zako Leo Leo mama zikufikie tukitulizeMungu akujaaliee furaha daima jamani