Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
- Thread starter
- #21
safiii
Asante ila nifanye kazi gani tena?Badili na user name kabisa kuepusha mambo mengi. Na homgera kama umempata wa kufanana.
Fanya kazi kwa bidii
Hahaha! Ninaho kupendea miss Natafuta hunaga za kuukalia unwellNi kweli asepe tu ila tushakula advance ya mahari.mbona nilishamegwa bure wakasepa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapata mwaya, Nipe aisee, ila ukinipa umenipa, nikikufuma naye uwiii, huo ugomvi😀😀.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapenda vya bure tupo tunakupimishia tu.Ni kweli asepe tu ila tushakula advance ya mahari.mbona nilishamegwa bure wakasepa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaa chukua tu jina. Mchepuko nakupa tu sina kazi nayo tenaSijapata mwaya, Nipe aisee, ila ukinipa umenipa, nikikufuma naye uwiii, huo ugomvi😀😀.
nataka nikubadili jina lako, niwe naitwa Miss natafuta 2 until further notice... kama ntakua nimepata kama wewe huhuuuu
Kumegwa bure si kawaida tu mama.wanaume hawa utawaweza?Hahaha! Ninaho kupendea miss Natafuta hunaga za kuukalia unwell
kweli umepata mtu serious, mpk unagawa bure micheps. 😀😀. msalimie shemeji
Sina kazi nayo. Nitaitesa tu bure.japo kuna mchepuko mmoja ni VIP sana yaani. Nitaumiss sana.ulishanisaidia vibaya mnokweli umepata mtu serious, mpk unagawa bure micheps. 😀😀. msalimie shemeji