Mwaka 2018 unaishaje kwako kiuchumi?

Mwaka 2018 unaishaje kwako kiuchumi?

Hakuna mwaka ambao umenipa mafanikio kama huu Mungu pekee ndiye Anajua..Bado namuomba Mungu 2019 uwe mwaka wa mapinduzi zaidi kwangu inshaallah.[emoji120][emoji120]
Amina,Mungu azidi kukubariki anibariki mimi na wote wenye positive attitudes tuzidi kubarikiwa zaidi na zaidi.Ili ile money multification effects blessings izidi kututembelea Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa kweli toka mwaka 2017 mpaka leo,Mungu ananibariki sana.naamini mwaka 2019,mipango yangu itafanikiwa pia..
 
Back
Top Bottom