Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Nauliza hivyo kiuchokozi tu kwa hawa magamba wanaoshangilia kila wanaponyang'anywa viti katika chaguzi ndogo za Udiwani. Mzunguko wa mwisho wa chaguzi ndogo za madiwani mwaka jana CCM waliambuliwa kunyang'anywa na CHADEMA viti 3 na mzunguko huu wa sasa tena wamenyang'anywa viti 3 vya udiwani.
Hii inawatia kiwewe CCM kwani hawakuzoea kupoteza viti, wao walikuwa wanajua ushindi wa kishindo tu kila chaguzi. Na pengine sababu hii ndiyo inayowafanya kutenda haya wanayotenda dhidi ya CHADEMA.
Hata katika viti vya Ubunge, baada yta 2010 hadi sasa CHADEMA wamenyang'anywa kiti kimoja kwenda CHADEMA -- Arumeru Mashariki.
ilikuwa viwe 3 lakini mahaka iliwaonea huruma na kuwarudishia viti vya sumbawanga na Igunga.