Mwaka 2010 CCM walianza na madiwani wangapi na sasa wamebakiwa na wangapi?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Nauliza hivyo kiuchokozi tu kwa hawa magamba wanaoshangilia kila wanaponyang'anywa viti katika chaguzi ndogo za Udiwani. Mzunguko wa mwisho wa chaguzi ndogo za madiwani mwaka jana CCM waliambuliwa kunyang'anywa na CHADEMA viti 3 na mzunguko huu wa sasa tena wamenyang'anywa viti 3 vya udiwani.

Hii inawatia kiwewe CCM kwani hawakuzoea kupoteza viti, wao walikuwa wanajua ushindi wa kishindo tu kila chaguzi. Na pengine sababu hii ndiyo inayowafanya kutenda haya wanayotenda dhidi ya CHADEMA.

Hata katika viti vya Ubunge, baada yta 2010 hadi sasa CHADEMA wamenyang'anywa kiti kimoja kwenda CHADEMA -- Arumeru Mashariki.

ilikuwa viwe 3 lakini mahaka iliwaonea huruma na kuwarudishia viti vya sumbawanga na Igunga.
 
Walifikiri Mzee Y.makamba na Tido mhando ndio waliowakosesha kura 2010. baadae mukama na sasa kinana yani wamechanganyikiwa
 
Nauliza hivyo kiuchokozi tu kwa hawa magamba wanaoshangilia kila wanaponyang'anywa viti katika chaguzi ndogo za Udiwani. Mzunguko wa mwisho wa chaguzi ndogo za madiwani mwaka jana CCm waliambuliwa kunyang'anywa na CDM viti 3 na mzunguko huu wa sasa tena wamenyang'anywa viti 3 vya udiwani.

Hii inawatia kiwewe CCm kwani hawakuzoea kupoteza viti, wao walikuwa wanajua ushindi wa kishindo tu kila chaguzi. Na pengine sababu hii ndiyo inayowafanya kutenda haya wanayotenda dhidi ya CDM.

Hata katika viti vya Ubunge, baada yta 2010 hadi sasa CDM wamenyang'anywa kiti kimoja kwenda CDM -- Arumeru Mashariki.

ilikuwa viwe 3 lakini mahaka iliwaonea huruma na kuwarudishia viti vya sumbawanga na Igunga.

Umenivunja mbavu hapo kwenye rangi uliposema eti CCm wanasherehekea kila wakinyang'anywa viti!
 
Loose Cannon,

Nashukuru sana kwa kujibu swali ambalo nimekuwa nikijiuliza tangu jana. kumbe katika uchaguzi huu CCm wamenyang'anywa kata 3? Mbona wanasema wamechukuwa kata nyingi kuliko CDM, shame on you green guard!!!

Watu ameanza na Mungu, wanaendelea na Mungu na watachukua nchi na Mungu kwa kuwa shetani anawatumia nyie combinationa ya yellow and green.

Nauliza hivyo kiuchokozi tu kwa hawa magamba wanaoshangilia kila wanaponyang'anywa viti katika chaguzi ndogo za Udiwani. Mzunguko wa mwisho wa chaguzi ndogo za madiwani mwaka jana CCm waliambuliwa kunyang'anywa na CDM viti 3 na mzunguko huu wa sasa tena wamenyang'anywa viti 3 vya udiwani.

Hii inawatia kiwewe CCm kwani hawakuzoea kupoteza viti, wao walikuwa wanajua ushindi wa kishindo tu kila chaguzi. Na pengine sababu hii ndiyo inayowafanya kutenda haya wanayotenda dhidi ya CDM.

Hata katika viti vya Ubunge, baada yta 2010 hadi sasa CDM wamenyang'anywa kiti kimoja kwenda CDM -- Arumeru Mashariki.

ilikuwa viwe 3 lakini mahaka iliwaonea huruma na kuwarudishia viti vya sumbawanga na Igunga.
 
Hiyo inaitwa 'freefall' ya CCM -- yaani haizuiliki. Wameshindwa kuongoza sasa wanaleta maafa.
 
Nauliza hivyo kiuchokozi tu kwa hawa magamba wanaoshangilia kila wanaponyang'anywa viti katika chaguzi ndogo za Udiwani. Mzunguko wa mwisho wa chaguzi ndogo za madiwani mwaka jana CCm waliambuliwa kunyang'anywa na CDM viti 3 na mzunguko huu wa sasa tena wamenyang'anywa viti 3 vya udiwani.

Hii inawatia kiwewe CCm kwani hawakuzoea kupoteza viti, wao walikuwa wanajua ushindi wa kishindo tu kila chaguzi. Na pengine sababu hii ndiyo inayowafanya kutenda haya wanayotenda dhidi ya CDM.

Hata katika viti vya Ubunge, baada yta 2010 hadi sasa CDM wamenyang'anywa kiti kimoja kwenda CDM -- Arumeru Mashariki.

ilikuwa viwe 3 lakini mahaka iliwaonea huruma na kuwarudishia viti vya sumbawanga na Igunga.
mkuu hapo kwenye red unamaanisha ccm?
 
Loose Cannon,

Nashukuru sana kwa kujibu swali ambalo nimekuwa nikijiuliza tangu jana. kumbe katika uchaguzi huu CCm wamenyang'anywa kata 3? Mbona wanasema wamechukuwa kata nyingi kuliko CDM, shame on you green guard!!!

Watu ameanza na Mungu, wanaendelea na Mungu na watachukua nchi na Mungu kwa kuwa shetani anawatumia nyie combinationa ya yellow and green.

hahaha point yako imenifurahisha kweli.
 
Nauliza hivyo kiuchokozi tu kwa hawa magamba wanaoshangilia kila wanaponyang'anywa viti katika chaguzi ndogo za Udiwani. Mzunguko wa mwisho wa chaguzi ndogo za madiwani mwaka jana CCm waliambuliwa kunyang'anywa na CDM viti 3 na mzunguko huu wa sasa tena wamenyang'anywa viti 3 vya udiwani.

Hii inawatia kiwewe CCm kwani hawakuzoea kupoteza viti, wao walikuwa wanajua ushindi wa kishindo tu kila chaguzi. Na pengine sababu hii ndiyo inayowafanya kutenda haya wanayotenda dhidi ya CDM.

Hata katika viti vya Ubunge, baada yta 2010 hadi sasa CDM wamenyang'anywa kiti kimoja kwenda CDM -- Arumeru Mashariki.

ilikuwa viwe 3 lakini mahaka iliwaonea huruma na kuwarudishia viti vya sumbawanga na Igunga.

Mku asante ila rekebisha hizo fact kwenye red, nadhani wamenganywa vitano ngwe hii ( refer thread ya matokeo ya udiwani hapa JF) na hapo walonyanganywa ubunge ni CCM si CHADEMA.
 
Back
Top Bottom