Ukiachana na upenzi wa milio ya engine za scania, jamaa anaweza kukufanya upande lorry uachana na mabasi kama huna haraka. Hahahahahaha.Yule dereva Mkongwe sijamtaja....kimsingi sikubahatika kuonana nae enzi hizo....
Namuonaga mitandaoni tu.....
Yap..na kuna dereva alikuwa anaitwa Rama....Nakumbuka hiyo Lami mwisho kibao cha pepsi kule Bahi road. Kipindi hiko Najmunisa ruti ya Mwanza Dar kaishika na mabus yake ya scania kachonga body yanamwaga moto balaa kwenye rough road.
Umenikumbusha mbali sana Abdalh Kitambi, Edward Mpalestina, marehemu Steven Mchupa, Duh! list ilikuwa ya maana sana hii, kwakweli tumshukuru Mungu kwa uhai na afya.SCANIA 124 G hizi zilikuja chache sana.
MOja nilikuwa nayo mimi tank..
Nyingine alikuwa nayo MArehemu Steven Mchupa nayo Tank,
Tunasafiri kupeleka mafuta Geita......Lami Dar mpaka Dodoma kibao cha PEPSI..
Baada ya hapo unaanza kupiga shimo,,,ndani uko peke yako....ndio watu wachache tulioanza kusafiri peke yetu ndani ya lori...raia wakawa wanasema tunasafiri ki south....
Wengine ni Abdala KItambi huyu naye alikuwa askari full kamanda naye alikuwa anasafiri na lori kumbe shushushu...
Enzi hizo maisha barabarani yalikuwa raha sana...pia namkumbuka Omar Kurunzi huyu alikuwa super star....
Wote hawa ni watu wa SCANIA.......madereva wengine wakongwe ni Mzee Nyakunga...Edward Mpalestina....Wilson Mhema....etc etc
View: https://youtu.be/ccY936nt-ns?si=P8FH1Xz0_2H-bMC8
Dereva mkongwe yupo kwenye bus sahivi anaendesha bus za TawaqalUkiachana na upenzi wa milio ya engine za scania, jamaa anaweza kukufanya upande lorry uachana na mabasi kama huna haraka. Hahahahahaha.
Ile njia kwakweli halafu umefunga dengla ya ft 20 sio kama hizi za sasa kama pick up duh! unafika sekenke unaomba mtu mwenye Puling akupandishie juu duh!Amen amen ndugu yangu...kweli tunamshukuru Mungu sana
Ukiwaza hivyo hauta fanya kazi zenye kutawanyikaKazi tamu sana lakin familia hukai nayo na mke wahuni wanakuchapia
Hii ni dhana tu, udereva ni kazi kama kazi zingine ni vile tu wewe utakavyo uchukulia, tumeaufanya na umetupa faida ktk maisha yetu. Jinsi utakavyo jiweka na ndivyo jinsi utakavyo kuwa ktk maisha yako ya kila siku.Umeacha watoto wangapi Huko barabarani?
Madereva wa malori kila kijiji ana Mtoto