Fake id inasaidia kutokunibashiri umri wangu.Labda uwe unasoma ninachoandika mara kwa mara JF.Kuna muda huwa nakuwa kavulana.Kuna muda nakuwa baba mwenye familia ninayoendelea kuilea.Kuna muda nakuwa mchungaji au wa dini isiyoeleweka.Kuna kipindi naamua kuzeeka hadi nashindwa kuandika kiswahili vizuri.Kuna kipindi nakuwa mzungu au Mkongomani.Sijui baadaye ntakuwa nani!