Mwaka 1994

Huyo ni Roberto Baggio ndani ya uwanja wa Rose Bowl Pasadena Los Angeles 1994 world cup dhidi ya Brazil alikosa penati na brazili ikawa bingwa apo alikuwa anajutia na kusikitika sana, pamoja na kuibeba Italy kwa mgongo wake mpaka fainali hiyo lakini ndiye aliyekosa decisive penalty, bahati yake hakuuwawa kama yule jamaa wa Colombia Andres Escobar
 
Mpira mchezo mgumu sana saana.
 
Mechi iliisha 0-0
Kwenye Penalties Brazil alishinda 3-2
 
Kisa cha Roberto Baggio kilimkuta pia David Trezeguet wa France,

Final ya Word Cup iliyofanyika German 2006,mpaka firimbi ya mwisho baada ya extra time,mechi ilikua 1-1 France vs Italy,

Kwenye Penalties David Trezeguet akapiga cross bar,Italy wakachukua World Cup.
 
Mpira una matokeo yake huwa yanaumiza sana na huku yakifurahisha kwa upande mwingine, ni jambo la kiajabu kidogo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…