Mwaka 1989 picha

Mwaka 1989 picha

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
19,147
Reaction score
43,082
Picha hii ni ya aliyewahi kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hayati Dkt John Pombe Magufuli na Mke wake Mama Janeth Magufuli.

Vijana wenzangu, maisha ni safari tuamini mchakato.
Picha kwa hisani ya mtandao wa Facebook

FB_IMG_1749222825831.jpg
 
Hajui kabla ya lodilofa kumuibua jamaa Kuna aerobics fulani za kukubalika kiroho alipitia na Ina mateso hiyo process wachache wanatoboa ndipo unakubaliwa na kupewa awamu za ubunge,uwaziri Hadi unamba moja ni deep dark not visual na huwezi amini!!
Life is not lottery or some dark conspiracy.

You always get what you deserve.

Some deserve trinkets, some gold.

As French say "C'est la vie", Such is life.​
 
It's never about the money laddie.

It's you living your life.

And picking up every spoil life throws down your path.​
Hakuna "living your life" kwenye hiyo process unayodhani!

Ni directed do or die trying!!Aliepewa ulimwengu hatoi bure mkuu!!ni mateso sana ujue!!
 
Hakuna "living your life" kwenye hiyo process unayodhani!

Ni directed do or die trying!!Aliepewa ulimwengu hatoi bure mkuu!!ni mateso sana ujue!!
Yani kama yangu, ntaipata hata ukiibana 🎵🎶🎼

If it's your portion to become a President, you'll surely become one. If it's not, you'll grind hard just like Lowassa and Membe, while your energy is wasted into the ether.​
 
Back
Top Bottom