Mwaka 1937 vitabu vilithaminiwa kuliko viatu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,346
1553164448055.jpeg

Sikuhizi mtoto anagoma kwenda shule mpaka apate Jordan na NIKE
 
Ulikuwa ni umasikini tu hakuna asiyependa mambo mazuri labda mrisho mpoto tu
Mnafik yule, asingekuwa anaendesha ile Nissan Patrol V8 badala yake angekuwa anaswaga punda au ng'ombe yeye akiwa nyuma trela ningemuelewa
 
View attachment 1050432
Sikuhizi mtoto anagoma kwenda shule mpaka apate Jordan na NIKE
Babu yangu mwenyewe alinisimulia anasema enzi za ukoloni huko mwaka 1927 yeye na wanafunzi wenzake walikuwa wanavaa kaniki au wanajifunga kanga kama vile watoto waliotoka kutahiriwa kisha wanaenda shule kama kilometa 12 yaani wanaondoka nyumban kwao saa 11 asubuhi wanarudi jioni.
Ila alishafariki kitambo sana mwaka 1986
R.I.P babu yangu
 
Na waliokwenda shule walihakikishiwa ajira
 
Back
Top Bottom