leyb
Senior Member
- Mar 23, 2013
- 111
- 64
Habari wanaJf napenda kujua namja ya kulalamika juu ya uzembe wa nssf wa kutofuatilia michango toka kwa mwajiri. Nimefanya kazi Miaka 4 namaanisha miezi 48 mwajiri hajapeleka michango Yangu ya miezi 41 kila siku nawaona Nssf ofisini najua wanafuata michango kumbe nothing, I am smelling some tone of huge corruption. Wadau kwa wataalam naanzaje kutoa malalamiko Yangu na nalalamikia wapi. No way out tutasaidia kutumbua.