NSSF Mlimani City: Kwanini hamrekekebishi michango ya wanachama baada ya nyie kukosea kujaza

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,741
6,430
Ndugu zangu mie ni mwanachama wa zaidi ya miaka 13 wa NSSF. Tatizo nililonalo tangia mwaka juzi ni kuwa NSSF Kinondoni wamekuwa kwa makusudi wanaingiza kwenye mfumo michango pungufu wakati mwajiri akilipa kwa wakati na kupewa stakabadhi. Mfano mchango wa sh 850,000 Tsh wao wanakuwekea 150,000 Tsh.

Nimekuwa nikifuatailia ili nifanyiwe marekebisho lakini hakuna kitu. Nilipewa form ya NSSF ya kufanyiwa ajustment ili mwajiri ajaze taarifa husika, naye akajaza na nikarudisha form husika lakini hakuna marekebisho.

Tangia 2015 January hadi sasa nimefuatilia mara 6 kwa kila baada ya miezi mitatu lakini hakuna..nabaki kuambiwa watu wa data watashughulikia.

Imani yangu sasa ni kwamba huenda wafanyakazi wa NSSF wanazipiga pesa husika halafu wanakujazia kidogo ili ukizubaa basi wale moja moja.

Wadau je nifanye nini ili haki yangu ya michango irekebishwe kwani njia zote wanazotaka kufanya nimefanya tangia Jan 2015 lakini hakuna mabadiliko.

Asanteni kwa ushauri
 
Ndugu zangu. mie nimwanachama wa zaidi ya miaka 13 wa nssf. Tatizo nililonalo tangia mwaka juzi ni kuwa NSSF kiondoni wamekuwa kwa makusudi wanaingiza kwenye mfumo micahngo pungufu wakati mwajili akilipa kwa wakati na kupewa stakabadhi. Mfano mchango wa sh 850,000 Tsh wao wanakuwekea 150,000tsh.

Nimekuwa nikifuatailia ili nifanyiwe marehekebisho lakini hakuna kitu.Nilipewa form ya nssf ya kufanyiwa ajustment ili mwajiri ajaze taarifa husika,naye akajaza na nikarudisha form husika lakini hakuna marehekebisho.

Tangia 2015 January hadi sasa nimefuatilia mara 6 kwa kila baada ya miezi mitatu lakini hakuna..nabaki kuambiwa watu wa data watashughulikia.

Imani yangu sas ni kwamba huenda wafanyakazi wa NSSF wanazipiga pesa husika harafu wanakujazia kidogo ili ukizubaa basi wale moja moja.

Wadau je nifanye nini ili haki yangu ya miachango irehekebishwe kwani njia zote wanazotaka kufanya nimefanya tangia Jan 2015 lakini hakuna mabadiliko.

Asanteni kwa ushauri

Hii kitu inaumiza sana.
 
Back
Top Bottom