Mwajipa moyo eeh. Shughuli imeisha. Soon itajulikana Nani kashika mpini

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,124
Reaction score
1,983
Kazi iendelee...

Naona mnajitia vikumbo kujipa moyo wa kiberiti. Mipango yenu ishaporomoka kama bati ya mwezi wa kusi. Mama tunaye vilivyo, si wa kuchovya, ni wa kumeza na mfupa! Karibuni mtajua nani ndiye Boss wa meza, si wa kugongea bakuli kama huyo Babu yenu. Wakati ule mlidhani mgeni hajui chungu kina mdomo, leo atawapikia kwa moto wa makaa.

Jiandaeni kufungasha virago, maana kuanzia mwezi wa kumi mtasaga meno kama ng’ombe aliyetemwa shambani. Na bado, mchele bado haujaiva, lakini harufu yake ishajaa kijiji.

Oktoba ya kishindo
 
Kabisa , mama tunatamba nae.
20250720_102652.jpg
 
Kiukweli kabisa Dkt Samia anatakiwa aendelee ili nchi iwe na stability. Akija mwingine kiuchumi siyo jambo jema. Ila sema sasa wagombania urais ndiyo balaa maana wanataka wao ndiyo wawe wao.
 
Tamaduni za ccm zilezile. Leo kisa Mama tena mzanzibar waleta nongwa. Tutaona
 
Wewe ndio yule sijui wakikukuna unawapapasa na kuwapuliza puuh?

Watu wanadai umekimbia eti upo Kiembe Samaki.
 
Kazi iendelee...

Naona mnajitia vikumbo kujipa moyo wa kiberiti. Mipango yenu ishaporomoka kama bati ya mwezi wa kusi. Mama tunaye vilivyo, si wa kuchovya, ni wa kumeza na mfupa! Karibuni mtajua nani ndiye Boss wa meza, si wa kugongea bakuli kama huyo Babu yenu. Wakati ule mlidhani mgeni hajui chungu kina mdomo, leo atawapikia kwa moto wa makaa.

Jiandaeni kufungasha virago, maana kuanzia mwezi wa kumi mtasaga meno kama ng’ombe aliyetemwa shambani. Na bado, mchele bado haujaiva, lakini harufu yake ishajaa kijiji.

Oktoba ya kishindo
Kitu pekee kilichobaki ni kujifariji..!
 
Kiukweli kabisa Dkt Samia anatakiwa aendelee ili nchi iwe na stability. Akija mwingine kiuchumi siyo jambo jema. Ila sema sasa wagombania urais ndiyo balaa maana wanataka wao ndiyo wawe wao.
Kwa kulinda Katiba inabidi amalizie mpaka October 2025.
Baada ya hapo hatujui ya kesho. Yeyote anaweza kuwa Bora kuliko Samia au siyo Bora kuliko Samia.
 
Kazi iendelee...

Naona mnajitia vikumbo kujipa moyo wa kiberiti. Mipango yenu ishaporomoka kama bati ya mwezi wa kusi. Mama tunaye vilivyo, si wa kuchovya, ni wa kumeza na mfupa! Karibuni mtajua nani ndiye Boss wa meza, si wa kugongea bakuli kama huyo Babu yenu. Wakati ule mlidhani mgeni hajui chungu kina mdomo, leo atawapikia kwa moto wa makaa.

Jiandaeni kufungasha virago, maana kuanzia mwezi wa kumi mtasaga meno kama ng’ombe aliyetemwa shambani. Na bado, mchele bado haujaiva, lakini harufu yake ishajaa kijiji.

Oktoba ya kishindo
Waambie wawe wanakuhusisha kwenye mambo yao. Mbona uko nyuma ya wakati!
 
Kazi iendelee...

Naona mnajitia vikumbo kujipa moyo wa kiberiti. Mipango yenu ishaporomoka kama bati ya mwezi wa kusi. Mama tunaye vilivyo, si wa kuchovya, ni wa kumeza na mfupa! Karibuni mtajua nani ndiye Boss wa meza, si wa kugongea bakuli kama huyo Babu yenu. Wakati ule mlidhani mgeni hajui chungu kina mdomo, leo atawapikia kwa moto wa makaa.

Jiandaeni kufungasha virago, maana kuanzia mwezi wa kumi mtasaga meno kama ng’ombe aliyetemwa shambani. Na bado, mchele bado haujaiva, lakini harufu yake ishajaa kijiji.

Oktoba ya kishindo
Octoba twala ubwabwa changuu. Eeee sasa tunaye twala urojo kwa mrija hapa kizimkazii.
 
Kazi iendelee...

Naona mnajitia vikumbo kujipa moyo wa kiberiti. Mipango yenu ishaporomoka kama bati ya mwezi wa kusi. Mama tunaye vilivyo, si wa kuchovya, ni wa kumeza na mfupa! Karibuni mtajua nani ndiye Boss wa meza, si wa kugongea bakuli kama huyo Babu yenu. Wakati ule mlidhani mgeni hajui chungu kina mdomo, leo atawapikia kwa moto wa makaa.

Jiandaeni kufungasha virago, maana kuanzia mwezi wa kumi mtasaga meno kama ng’ombe aliyetemwa shambani. Na bado, mchele bado haujaiva, lakini harufu yake ishajaa kijiji.

Oktoba ya kishindo
Jahazi modern taarabu
 
Back
Top Bottom