Mwai Kibaki Road Hiyooooo

To be reverted in near future...

Kwa waliosoma historia ya Bagamoyo, hili ni tusi kubwa sana!!
 


Wajameni naomba mnisaidie maana sielewi hapo. Hivi Barabara ya Bagamoyo kubadilishwa jina na kuitwa Jina hilo la Rais wa nch jirani kunaleta maaana gani? Huyo Rais wa Jirani katufanyia nini kikubwa hadi tumpe jina kwenye barabara zetu? Vigezo gani vinahusika kutoa majina ya Barabara zetu? nielimisheni wandugu.
 

Mkuu sidhani kama utapata jibu stahiki!
 
bongo tambarareeeeeee, nasubiri ankali Obama aje nae tumpe highway au kama vipi tumpe daraja jipya la kwenda Kigamboni kama likijengwa kweli maana Tz tunaijua wazawa wenyewe
 
Bado na Kilwa tunatarajia kumpatia mzee wa Uganda na kuifuta kwenye ulimwengu wa kumbukumbu za kihistoria. Tanzania oyeee.
 
kibaki alichakachua kenya,jk bongo,waarabu wa pemba hao,..scratch my back and i will scratch yours
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…