Mwai Kibaki: Mungu akupe afya njema

Mwai Kibaki: Mungu akupe afya njema

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,802
Dua zote ni kwa Mhe. Rais mstaafu Mwai Kibaki ,anayepokea matibabu huko South Africa. Mungu akupe afya njema na urudi nchini kwako salama salimini.
** Hekima na Upole wako ni tunu tunazojivunia Waafrika leo hii.
 
Back
Top Bottom