Rais wa kenya Mwai Kibaki
leo akiwahutubia wazee wa Dar kwa niaba ya Watanzania amesema
''Watanzania hamjazoea kutembea'' maana yake kuwa watanzania wengi
wanaishi Tanzania tu Je hi si dharau kwa Watanzania? Inamaana Watanzania
huushi pwani tu na hatutoki nje ya nchi hivyo akasisitiza tuende kenya.
Hata hivyo kitendo cha serikali ya Tanzania ikiongozwa na Rais JK
Kikwete kuipa barabara ya Old Bagamoyo yenye historia ya Tanzania na
kumpa Mwai kibaki, ikumbukwe Mwai kibaki aliingia kwa nguvu Kenya na
kusababisha mauaji ambayo leo hii hatosaulika kenya. Sisi Watanzania ni
kipi kilichotufanya barabara ya kihistoria kupewa Kibaki?
Source ITV habari saa 2000hrs usiku
angalia kuna sehemu nime quote maneno na mara baada ya hapo nimeweka na mawazo yangu au elimu gani......Source ITV habari saa 2000hrs usiku[
Ndugu yangu pamoja na kwamba sikubaliani na hiki ulichojaribu kuelezea naomba nikupe elimu ndogo ya namna unavyoweza kunakili chanzo cha habari. Unatakiwa kueleza/kunakili kile tu chanzo chako kinavyosema , halafu kama wewe mwenyewe una mawazo yako hutakiwi kuonyesha ni sehemu ya mawazo toka kwenye chanzo chako. ITV hawajasema hivyo ulivyotaka watu waelewe. Hiyo ni mtizamo wako tu.
yes,izo ni changamotorais wa kenya mwai kibaki leo akiwahutubia wazee wa dar kwa niaba ya watanzania amesema ''watanzania hamjazoea kutembea'' maana yake kuwa watanzania wengi wanaishi tanzania tu je hi si dharau kwa watanzania? Inamaana watanzania huushi pwani tu na hatutoki nje ya nchi hivyo akasisitiza tuende kenya.
Hata hivyo kitendo cha serikali ya tanzania ikiongozwa na rais jk kikwete kuipa barabara ya old bagamoyo yenye historia ya tanzania na kumpa mwai kibaki, ikumbukwe mwai kibaki aliingia kwa nguvu kenya na kusababisha mauaji ambayo leo hii hatosaulika kenya. Sisi watanzania ni kipi kilichotufanya barabara ya kihistoria kupewa kibaki?
Source itv habari saa 2000hrs usiku
Rais wa kenya Mwai Kibaki leo akiwahutubia wazee wa Dar kwa niaba ya Watanzania amesema ''Watanzania hamjazoea kutembea'' maana yake kuwa watanzania wengi wanaishi Tanzania tu Je hi si dharau kwa Watanzania? Inamaana Watanzania huushi pwani tu na hatutoki nje ya nchi hivyo akasisitiza tuende kenya.
Hata hivyo kitendo cha serikali ya Tanzania ikiongozwa na Rais JK Kikwete kuipa barabara ya Old Bagamoyo yenye historia ya Tanzania na kumpa Mwai kibaki, ikumbukwe Mwai kibaki aliingia kwa nguvu Kenya na kusababisha mauaji ambayo leo hii hatosaulika kenya. Sisi Watanzania ni kipi kilichotufanya barabara ya kihistoria kupewa Kibaki?
Source ITV habari saa 2000hrs usiku
umeongea vizuri sana mkuu! hawa watu wanataka sisi watanzania tumchukie mwai kibaki bila sababu. hii kasumba ya kuwachukia wakenya ililetwa na mtu ambaye sasa yupo kaburini. hawa watu bado wantawaliwa na kaburi lake. tanzania ndio maana haina maendeleo kwa sababu kuna watu bado wanendeshwa hisia zao na kaburi la mtu badala a ya akiri zao.Source ITV habari saa 2000hrs usiku[