Mwai Kibaki anamchukia Odinga?

sekulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
988
Reaction score
158

Hapa kaka Mwai sijui alikua anamchimba biti gani Odinga!
 
mwai anakamata laga sana na jamaa (laila) si mnywaji, yawezekana laila alimkumbusha kuwa ananuka mdogo akatafute hata hiliki atafune.
 
mwai anakamata laga sana na jamaa (laila) si mnywaji, yawezekana laila alimkumbusha kuwa ananuka mdogo akatafute hata hiliki atafune.

We kiboko kaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…