"Mwafwaa" ndio nini?

cosa nostra

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
1,773
Reaction score
1,809
Naona hii kitu kwenye post za watu ina maanisha nini "mwafwaa?"
 
ikimaanisha nini sasa nje ya box sasa
 
Ni neno la kejeli sana huko huayani ikimaanisha mtateseka hadi kufa
 
asanteni wadau nimeipata vizuri sana na nimeongezea majibu mengine kichwani
 
Je hakuna kiongozi yoyote mkubwa wa serikali aliyewahi kusema hilineno [HASHTAG]#mwafaa[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…