Makorokoro Bondeni
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 1,370
- 2,100
Acheni kuona aibu za kipumbavu nyie Waafrika,hakuna baya kila mtu ale kwa uwezo wake as long as haumbuguzi mtu.
Hamna ubaya hapo,mke anadeclare tu muda wa kubook ticket kwamba mume ana special food ana allergy vinapimwa havina madhara anapita navyo.dola 100+ itahusika.Safari njema wazee
View attachment 3129757