Mwafrika kichaa

mataka

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
286
61
Mwafrika na mzungu walikutana bus station, mzungu alikuwa na nyani na muafrika alikuwa na ndizi, baada ya muda mwafrika akamuomba mzungu amshikie ndizi yake ili aende chooni, kurudi anamuomba mzungu ile ndizi mzungu anadai ndugu yake ameila (nyani) basi jamaa akashukuru, punde mzungu akamuomba jamaa amshikie nyani wake ili nae aende toilet,aliporudi akakuta nyani wake amekufa mzungu akahamaki na kumuuliza jamaa kwa nini amemua nyani wake, jamaa akamjibu hivi, " huu ni ugomvi wa kifamilia kwa hiyo wewe haukuhusu".
 
duh mshikaji kweli noma...
 
Back
Top Bottom