Mwadhama Pengo kwanini kama huna la kusema usikae kimya?

Mwadhama Pengo kwanini kama huna la kusema usikae kimya?

Wanachonishangaza bavicha ni kutaka democracy huku wakipinga Pengo kutumia democracy kueleza anachokiona sahihi.Wao wanaamini sahihi ni wale walioupande wao tu na kuwaunga mkono ni kujitambua na kukuza democracy. Ukiwa tofaut utaambiwa Njaa,Unajipendekeza na kejeli kibao.Ni simple tu,ktk kundi la watu 2 na kuendelea hamuwezi kuwa na fikra sawa na Huwezi force wafanane.Yani Pengo angeonekana anajielewa sana kama angetoa mawazo sawa na maaskofu wenzie.Hiki ni kitu na Kinaonesha uwezo finyu wa Bavicha ktk KUFIKIRI.

Kama huo waraka kuna baadhi ya watanzania wameuunga na wengine wameupinga,Na kila mmoja yuko sahihi kutokana na maelezo ya upande wake na ni democracy, kama ni hivo Pengo ni mtanzania na anahaki ya kuwa upande anaona yy ni sahihi,kwanini mumlazimishe awe upande wa wanaounga mkono?Iko wapi democracy mnayoililia?Hamuoni kwamba mmegeuka madikteta wa FIKRA?Hata kitu kikaungwa mkono na watu 99 kati ya mia,yule mmoja mawazo yanapaswa kuheshimiwa na possibly anaweza kuwa sahihi zaidi kama atapewa nafas atetee anachoamini.

WANAOLILIA UHURU WA KUJIELEZA NDIO VINARA WA KUKANDAMIZA UHURU WA KUJIELEZA.
 
Back
Top Bottom