Mwadhama - Kardinali Polycarp Pengo ni mgonjwa

Mnapata wapi muda wa kujibizana na uyo kahtaan,uyo ni mkuda tu sifa yake tantalila mingi kichwani hamna kitu...
 

So whats your point!

Kwani we ulikuwa hujui kuwa majini ni viumbe pia??

Na wale pepo alikuwachukua yesu akawaingiza kwenye nguruwe! Walikuwa ni kina nani??

Stori ndeeeeefu kama mkojo wa damu ya bwana. Lkn haina lolote jipya!

We mwnyewe umeona hapo kwenye QURAAN kuwa baada ya KUSIKIA QURAAN HATA MAJINI WALISILIMU na kuwa WAISLAMU.
Sasa nyie kila siku mnasikia Quraan lkn kusilimu HAMTAKI!
Hii inamaanisha vichwa vyenu ni vigumu KULIKO MAJINI!.
 

...kwani sisi ni majini,
 
Get Well Kardinali Pengo!Mungu atanyoosha mkono wake wa uponyaji!
 
Kachukia serikali tatu hadi kaumwa
 
Mimi kama mkristo naungana na wenzangu kuomba kwa MUNGU wetu amrudishie afya Askofu pengo.
 
Nyie ni ZAIDI YA MAJINI.

teh teb teh teh!

...hahaaaa, kweli sisi ni zaidi ya majini ndo maana hatuna muda nayo kama nyie, na ndio maana sisi tuna uwezo wa kuyakemea kwa jina la Yesu, lakini nyie mnayaabudu kama yule sheikh wenu aliyekufa.
 
mizambwa nae kawa mhadhiri siku hizi?mh!!
 
Juzi sio leo.

Juzi hiyo hiyo wakati huyu akitangazia waumini kuwa ni mgonjwa yeye alikuwa busy akiendesha mnada ndo maana nikashangaa. Je huyo aliyetangaza kuwa anaumwa alikuwa na ridhaa yake?
 
wewe ni nani wa kuhoji kuhusu miungu au mungu wa wenzio? Hata kama wangekua wamemuombea kwa shetani huna ruhusa ya kupinga wanachokiamini as long as mhusika sio ww! Nimejaribu kufuatilia comment zako ila kwa ufupi naweza sema nina shaka na elimu yako au kweli umesoma lakini elimu yako haijakukomboa...duuuuh ama hakika watu wengine mnajisahau saaaana! Kama hujiskii kumuombea heri basi usiwapinge wanaotaka kufanya hivo na inawezkana kabisa huna mapenz na watu wa dini wa tofauti na dini yako sasa sijui kimekuwasha nn kuisoma hyo thread wakati ushaona kabisa neno kardinali pale kwenye heading
 


In maana kuwa na nyie wote ni majini (PEPO)



MIZAMBWA
INANUMA SANA
 
Mgimwa alikuwa ni mtu wa serikali lakini huyu ni kiongozi wa dini, je kuna uhalali wowote wa kuficha anachoumwa?
Alokwambia kiongozi wa dini ndio aseme anaumwa nini ni nani? Ye ni binadamu kama wengine ana hiari kusema au kutokusema kama wewe ukiugua na kuwa na hiari kusema au kutokusema unaumwa nini.
 
Ugonjwa ni ugojwa tu hata kama wangetaja nisingeweza kufanya chochote. Nachoweza kufanya mimi ni KUMWOMBEA MWADHAMA MUNGU AMPE AFYA NJEMA.
 
Watu tusio na dini Mungu anatupa mvua na mahitaji yetu.Watu waliojaa dini kwenye nafsi zao wanafkiri Mungu anakaa kwenye dini!!Dini zenyewe zimejaa uongo uhuni ubaguzi na upotoshaji.Mimi namwamini Mungu.Dini siiamini kabisa!!! Ni hatari kuamini dini badala ya Mungu.
 



:loco::loco::loco: Mkuu mbavu zangu,,,,yale maigizo tu si wangeenda Muhimbili au Ocean Road kuwaponya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…