Mwacheni Tundu Lissu aende Chato, ndio Jimbo pekee alilozoa Kura nyingi 2020 yeye na Mgombea Ubunge wa Chadema!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,116
Ni haki tena ni wajibu kama itampendeza Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kwenda Chato kuzuru kaburi la Shujaa Magufuli na kuwasalimia Wapiga kura wake

Ikumbukwe Chato ndio jumbo pekee ambalo Tundu Lisu alipata mapokezi makubwa na iklamlazimu arejee mara ya pili

Chato ndipo Tundu Antipas Lisu alijizolea kura nyingi sana 2020 yeye na Mgombea Ubunge wa Chadema

Mlale Unono 😃😃
 
Ushahidi uko wapi?
 
Aluta continua
 
Back
Top Bottom