Mwacheni Mwalimu apumzike (MMA)

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,023
1,315
c0fc529383f7c200675437d8c9d6b78b.jpg
 
Ningekuwa rais kipaumbele changu ni mwalimu athaminiwe turudi miaka ya 1978 huko mwalimu alikuwa anaheshimika na jamii nzima leo hii mtu anafeli anaambiwa kasomee hata ualimu yani thamani ya mwalimu haipo tena naumia sana unahangaika na vitoto vya leo hii hakuna kukagusa na fimbo ukigusa tu central panakuhusu
 
Unachokisema ni kweli na unaweza kukuta hata darasa moja lenyewe hajamaliza. Pengine kidato cha kwanza wapo A, B na C. Hizo ni daftari za mkondo A tu. Tena ukute anafundisha vidato vyote. Ningekuwa nina mamlaka serikalini, mwalimu angewazidi wengine wote kwa mshahara. Lakini nahisi ndio kada inayopokea kima


Bado madaftari ya darasa lingine hayajafika bado kusahishwa
 
Back
Top Bottom