DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Anaandika wakili Boniface Mwabukusi,,, Narudia tena .Hapa tulipofikishwa na utepetevu wa vyombo vya maamuzi pamoja kwa kuharibu demokrasia,uwajibikaji na Utawala wa sheria hatuwezi kutoka kwa Propaganda za tunaonewa wivu? Sijui tuna raslimali chache au nyingi au sijui uzalendo! au sijui dada yule anayeishi nje au huyu anayeishi ndani wanatumika na mabeberu!?
Chanzo cha sintofahamu kinajulikana ni kuvuruga demokrasia nchini na kusababisha vijana kupoteza Tumaini. Kazi hii ilisimamiwa na sisi wenyewe kupitia vyombo vyetu kwa kujua au kutokujua au kutokujali.Tujikite hapo tutapata majawabu.
Tunahitaji Haki,ukweli na Uwajibikaji katika yale yaliyojiri kabla,wakati na baada ya Uchaguzi ndiyo njia ya Kweli itakayoliponya taifa na kulipeleka kwenye Njia ya Uzima.
Hawa vijana wa GenZ tusiwabeze,wana akili kuliko sisi,wana maono bora kwa Taifa lao kuliko sisi tunao jiangalia wenyewe na wanajua wanakotaka Taifa lao liende.( Hawa ndiyo Baba wa Taifa Mwl.Nyerere aliwaita Vijana Jeuri Jeuri)
Hawa siyo wagonga meza wazee wa ndiooo....ni wasomi,wana hoja na hoja zao zina Msingi wa Kisheria ,Kikatiba na ukizisikiliza kwa akili huru ni za kizalendo kabisa.Tuache kufanya maigizo ya kucheza na Moto kwenye Nyumba ya Nyasi.
NIkama vile bado hatuja jifunza au hatutaki kujifunza kwa uzembe uliopelekea mauaji na vifo vya mamia ya Raia wasiyo kuwa na hatia kufuatia uchaguzi au laa badala ya kufanya chambuzi za kitaalamu zenye fact za kwanini tupo hapa tuna piga ramli chonganishi kujaribu kucheza mchezo wa hangaisha bwege.Hatutafika.
Acheni kabisa kutisha Mawakili wanapotekeleza wajibu wao wa kisheria na kufuata fuata Mawakili wanapofanya kazi za Kutetea wananchi na kutoa huduma za Msaada wa Kisheria. Acheni vitisho kwa Mawakili huku ni kuingilia ,kubaka na kunajisi mfumo wa Utoaji haki na Mfumo wa haki Jinai.
Mawakili endeleeni kutoa Msaada wa Kisheria huo ni wajibu wetu mtakatifu kwa Umma kwa mujibu wa Sheria na tuifanya kazi hiyo bila hofu wa woga.
TUSIPOZIBA UFA TUTAJENGA UKUTA
BAK MWABUKUSI.