Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,082
- 4,262
najua wk end hii wapo walio umizwa na wapenzi wao kwahiyo wamevunjika moyo... mie nakupa hiii .......mwaaaaaaaaaaaaaaaa
kwa wale walio fiwa na wapendwa wao wamekosa mfariji, Mungu awe mfariji wako na pokea hili ............... mwaaaaaaaaaaaaaa
wanawake wote wapenda maendeleo ................................................. mwaaaaaaaaa
JF ladies, Dena, Lizzy, Michelle, marytina, rose, na wengine wote ...........mwaaaaaaaaa
wale wote watakao tunga mimba siku ya leo........................................ mwaaaaaaaaa
basi nawe mwambie maneno mazuri yule umpendaye, mtakie wk end njema!!!
nawapenda wote!!!
Ha ha ha Susy hiyo red hiyo ina visa.
Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Weekend njema my sister mwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhh