mwaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaa

najua wk end hii wapo walio umizwa na wapenzi wao kwahiyo wamevunjika moyo... mie nakupa hiii .......mwaaaaaaaaaaaaaaaa

kwa wale walio fiwa na wapendwa wao wamekosa mfariji, Mungu awe mfariji wako na pokea hili ............... mwaaaaaaaaaaaaaa

wanawake wote wapenda maendeleo ................................................. mwaaaaaaaaa

JF ladies, Dena, Lizzy, Michelle, marytina, rose, na wengine wote ...........mwaaaaaaaaa

wale wote watakao tunga mimba siku ya leo........................................ mwaaaaaaaaa

basi nawe mwambie maneno mazuri yule umpendaye, mtakie wk end njema!!!

nawapenda wote!!!

Ha ha ha Susy hiyo red hiyo ina visa.

Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Weekend njema my sister mwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhh
 
Hizo mwaaa sasa mwishoni mtananihiii, mimi nakubamba bonge la hugggggggg
 
Kweli naona kuna haja ya kuwa na chama cha kutetea haki za akina baba
Yaani salamu yoote haina mbaba/mkaka wala jinsia yoyote ya kiume??
Hebu edit bana utuweke . . . . :tongue::tongue::juggle:

Haya chukua hii spesho toka kwangu mmmmwaaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom