Mvuto wa mapenzi

Payer

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
824
Reaction score
189
Salamu wandugu.

Saikolojia inaonesha kuwa, mwanamke huvutiwa na mafanikio ya mwanaume au uwezo wake kiakili wa kutafuta pesa kuliko muonekano wao. Kwa mwanamke, pesa ndio matarajio makubwa ya uhakika kwa maisha yajayo. Ndio maana waweza kuta mtu mume asiye na mvuto mzuri sana anamiliki mke mwenye mvuto wa ajabu.

Ukweli huu wanaujua na kuuishi ila hawako wazi sana kusema.Kwa upande wa pili, mwanaume huvutiwa zaidi na muonekano mzuri wa mwanamke na sio akili wala kipato chake.

Nini maana yako katika hili.Karibuni tujadili pamoja.
 
kila mmoja ana ladha yake na ndio maana wanaume wa kila aina na wanawake wa kila aina wameolewa na kuoa!
 
BlueG hahahaaaaa.... Radha inakuja baada ya hatua Fulani. Iyo hatua ndio naizungumzia hapa
 
Last edited by a moderator:
Kama hawa
 

Attachments

  • 1422012107745.jpg
    27.3 KB · Views: 770
Ni kweli mwanamke hupenda kitu na si mtu kama inavyopendeza ndiyo maana pia ukiwa na mwanamke ghafla upepo wa nafanikio ukwa wrong anaangalia upande upepo unapovuma vizuri
 
Nimeipenda iyo Wachagga
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…