Mvuto wa Kitovu cha mwanamke

Wanawake wana miili mizuri, kuanzia unyayo hadi nywele, Nakuelewa vizuri unavyopenda vitovu, kuna wanawake wazuri jamani ee
 
Cha kwako ni kipi kwanza?, afu umesema huwa hadi unapata hamu ya kukilalia kitovu cha mwanamke mwenzio?? Unakoelekea si kuzuri punguza kasi.

Afu hizo picha ni za flat tummies ama vitovu?, mbona hamna wenye vitambi hapo au hawana vitovu[emoji2369]

[emoji23][emoji23][emoji23] uchokozi uo
 
Ona kama hivi, basi nikiona napenda.....
 
Umeutendea haki uzi.
 
Wewe kitovu chako kipo kama kipi kati ya hivi ?
 
Umeona eeeeeih na nimegundua kuna wenzangu wengi sana wanapata feeling kama zangu wanapoona vitovu
Hujaniambia chako kina fanana na kipi katika hivi vitovu ulivyoviweka na vile ambavyo wadau wameviweka ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…