kwa hiyo warumi kila ukimtazama Diamond anakuvutia mnoo?
Unataka kusema jamaa. Ame sell his soul to the devil View attachment 1375552
Sent using Jamii Forums mobile app
HaikataiMimi mwenyew Nina mvuto jamii forum , toka nianze umbea had leo hakuna wa kunifikia[emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenena haswaaaaaaaaaah binamuMimi mwenyew Nina mvuto jamii forum , toka nianze umbea had leo hakuna wa kunifikia[emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
hizi fikra ndo hutudumaza waafrika kuhusu mafanikio...
babu alinambia "mzungu na mwafrica tofaut ni rangi tu, akili tupo sawa bt tatizo la mwafrica hutumia zaid nguvu ya mwili kuliko nguvu ya akili ndo maana ni ngum kufanikiwa bt mzungu anaitumia zaid nguv ya akili ndo maana ni rahisi kufanikiwa"
tubadili fikra hakuna nguvu ya giza itakupa utajiri, kama ingekua hivo wachawi na waganga ndo wangekua matajiri wakubwa zaid duniani hapa maana na wao wanazpenda starehe

Kazi yake ni kutibu, na kusaidia na sio kujisaidia , hayo ndio makubaliano na mizimu, usicheze na mizimu ,hizi fikra ndo hutudumaza waafrika kuhusu mafanikio...
babu alinambia "mzungu na mwafrica tofaut ni rangi tu, akili tupo sawa bt tatizo la mwafrica hutumia zaid nguvu ya mwili kuliko nguvu ya akili ndo maana ni ngum kufanikiwa bt mzungu anaitumia zaid nguv ya akili ndo maana ni rahisi kufanikiwa"
tubadili fikra hakuna nguvu ya giza itakupa utajiri, kama ingekua hivo wachawi na waganga ndo wangekua matajiri wakubwa zaid duniani hapa maana na wao wanazpenda starehe
Kweli, nakuunga mkono, diamond yupo fit sana spirituallyWanasema hivyo ila sidhan , Diamond hana pesa hizo , ila mvuto alionao kwa jamii is just too extra , kuna nguvu za ziada ako nazo
Sent from my iPhone using JamiiForums