Arvin sloane
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 996
- 203
gfsonwin umesoma vizuri mi naona kukiwa na mvuto lazima kuna kinyume chake kutokuwa na mvuto sasa mi nawapenda wanawake ambao hawana mvuto samahani kwaa kutumia neno mbaya nimefuta kauli nyangu.Arvin sloane hivi kuna mwanamke mbaya? au nimesoma vibaya? ubaya kwako wewe ukoje?
Kongosho sasa na wewe ndo unazidi kunipa maswali mengi sana, kumbe tabia nazo ni compliment ya mvuto? sasa kama ndivyo mbona kuna mwanamke unakuta labda kila siku anaandamwa na stori mbaya na chafu lakin kila siku anatakwa na mwanaume tofauti? na yeye ukiangalia utakuta hajawah kuish bila mpenzi yaani kuwa na boy friend hata miez miwili baada ya mahusianao aliyokuwa nayo kuvunjika?
gfsonwin, kweli tunatafautiana. Wakati mie nikiwa na mwenzangu huwa namuonyesha kabisa wenye miguu mizuri, makalio ya kukata na shoka (source BAK), wenye skin texture nzuri na pua za kishihiri. I understand I'm not the most beautiful woman he has ever seen, but I'm the woman he fell in love with. Ukiwa comfortable in your own skin utaonyesha hata walio vaa nusu uchi ili mshangae pamoja. Kisangani cha kumvalisha mawani ya mbao motto wa mwanamke mwenzio?
Hata kumuonesha naweza, na kuna wakati hata akinionesha sijali sababu najua hawezi kula wazuri wote
Na wala hana guarantee kuwa watamkubali, who is he bana?
Afu kuna uzuri wa nje na uzuri wa ndani
Teh teh, wanawake wabaya tunawekeza kwenye uzuri wa ndani lol
Shepu utadhani nilianguka bafuni, miguu mkimbia riadha na cowberry zinafaa kusupply maziwa Tunduma lakini sitakosa bazazi mmoja lol
Siamini sana kama kufuatwa na wanamme ndio kipimo cha uzuri au mvuto.
Kufuatwa na wanamme nadhani ni 'how you make yourself available' kwa ajili ya wanamme kukufuata.
Hivi machangudoa wote ni wazuri au wanamvuto? Lakini kutwa kucha wanafuatwa na wanamme.
Au mabarmaid, sorry simaanishi kudharau kazi ya mtu hapa, lakini na wao kiwango cha kutongozwa kiko juu sana.
Wanamme wengi wanapenda 'cheap and available' for short term japo ukichunguza akitaka kuoa haoi hao.
So uzuri na mvuto ni beyond matongozo ya wanamme.
lol wewe Nakapanya nafikiri ni bora tusionane milele manake waweza kunihonga hadi mshahara wote hasa ukinikuta nimevaa sandals na nikikupa mkono waweza kufikir vimechongwa kumbe jamani uumbaji wa MUngu tu.
BAK na wakaka wengine, nakubali wanaume huvutiwa na sura, silka ya mdada, umbo zuri, makalio makubwa, mgongo mzuri, kiuno, etc.Swali langu ni je hayo makalio makubwa huwa mnayatumiaje kwenye tendo? Maana mi sina makubwa sana ila Maashallah, lakini sijaona matumizi yake hasa, au sijapata anayejua kuyatumia?!
gfsonwin umemuona huyu dada? sio mzuri sana, ila ana mvuto na anatia raha kumuangalia,
acha tu wanaume, hata mimi mwanamke mwenzie natamani ni dou nae licha ya kumtazama tu.
haijalishi mvuto ama uzuri ni wakununua or not. wat matters ni kuwa ana mvuto. na kama ana
mvuto wa kutosheleza na mwanaume rijali akamtazama machoni he wishes apate nafai ya kuonja K,
sio lazima kuishi nae, yaani mradi agusishe na aondoke zake. kama vile kupoza kiu ya maji.
BAK na wakaka wengine, nakubali wanaume huvutiwa na sura, silka ya mdada, umbo zuri, makalio makubwa, mgongo mzuri, kiuno, etc.Swali langu ni je hayo makalio makubwa huwa mnayatumiaje kwenye tendo? Maana mi sina makubwa sana ila Maashallah, lakini sijaona matumizi yake hasa, au sijapata anayejua kuyatumia?!
Huyu kweli anavuta hisia lakini kwa tabia za wanaume akila mzigo huwa wana-tend kumwona wa kawaida japokuwa nguvu ya kumfukuzia ilikuwa kubwa tena unakuta anamwona very special punde atafanikiwa yaani hapo atamwona kaa wa kawaida na sijui kwanini inakuwa hivi
Wapenzi wana mmu habari za week end?
Jamani leo nimekuja na hili hapa nimelipata mitaa ya kati nikaona nililete hapa tujadili pamoja.
Hivi jamani kuna mwanamke mwenye mvuto tu ambaye kila mwanaume rijali akimuona huvutiwa kumsemesha? je mvuto huu hupelekea kuwasha tamaa ya kufanya matusi na mwanamke husika? Je mvuto huu kwenu wakaka huwa unaangalia vitu gani kwa muonekano wa mara ya kwanza?
[/COLOR]
Hakuna mwanamke ambaye kila mwanaume akimuona huvutiwa kumsemesha kwa sababu wanaume tofauti wanavutiwa na vitu tofauti.
Mvuto wa kuongea na mwanamke unaweza ukawasha tamaa hiyo uliyoieleza lakini sio lazima uwashe hiyo tamaa(inategemea na umri wako na mazingira uliyokulia) kwa sababu wapo wanawake ambao watakuvutia kimaongezi lakini sio ki namna hiyo nyingine.
Kwenye muonekano wa kwanza, mvuto wa kawaida unatokana na mwanamke mwenyewe. Kwa mfano je huyu dada ananionyesha welcome face au ananipa ile sura ya shoka yaani usithubutu hata kunitazama.
Mvuto ambao sio wa kawaida(ule wa matusi) hauna formular, inategemea mwanamke ana-contain nini katika sehemu ya mwanamke unayoipenda(sura, umbo,maongezi/sauti, ustaarabu n.k). Nadhani ulishawahi kuona wanaume wengi wa mtaa fulani wanatongoza mwanamke mmoja na sio kwamba anawavutia isipokuwa wameshaambiana kwamba huyu dada chupi kaivaa kichwani. Mvuto wa matusi hauna formular. Lakini mwisho wa yote wanaume wengi hawaoi wanawake wenye hivyo vivutio. Wanaume wengi wanaowa wanawake wenye motherly look.
hakika naweza kukuhonga hata mshahara wote tu nikikuona una vidole vizuri na kucha nzuri,yani huo ndo ugonjwa wangu aisee.......