ahsante sana kaka yangu wa moyoni mito lakin je hivi umeshawah kukutana na binti wa kike from no where akakuvutia sana na kabla hata hujasema naye ghafla na mwanaume mwingine maeneo hayo hayo akatamka kwa nguvu binti kanivuti? kama ndiyo mazingira kama hayo nini hupelekea? manake mimi kuna maali nimemuuliza Catherine kama kwa mfano kakutana na BAK na ni mwanaume mzuri ambaye mwanamke yeyote anaweza kuvutiwa naye pasi hata kuingia naye kwa bed nini kitakacho mvutia cha kwanza. nafikir amejibu vizuri hebu msome halafu unipe na wewe majibu yako.
mito napenda sana mtu anayetoa mifano halisi manake hii ndiyo inayojenga ma dearest. real nimependa sana ulichokisema. sasa hapo nikuulize swali suppose umekutana na mtu wa aina hiyo waweza kumsifia yeye binafsi kwa kumwambia umzuri bi mkubwa?gfsonwin jibu la swali lako la kwanza hapo kwa red ni big YES, ngoja nikupe mfano kidogo wa experience yangu. Mwaka juzi nilikuwa na rafiki zangu watatu (so mi wa nne) kwenye daladala maeneo ya Mwenge. Tulikuwa tumekaa siti za nyuma kabisa, hivyo kila aliyeingia na kutoka tuliweza kumuona vizuri. Tulipofika kituo fulani aliingia mama mmoja hivi (hakuwa binti na alionekana kabisa kuwa ameolewa , siyo kwa kuangalia pete lakini). Honestly alikuwa mzuri kweli kwa macho yangu by looking, figure, reception, miguu, dressing etc. Baada ya kama vituo vitatu vinne hivi yule mama akashuka. Basi mi nikajiachia kwa kutamka (nawambia rafiki zangu), mmh aisee yule mama ni mzuri kweli kweli hata siwezi kumuoa! Huwezi amini ilikuwa kama walikuwa wananisubiri nifungulia mjadala. Kila mmoja wetu alikubali kuwa mama yule ni mrembo kweli kweli! sema tu walikuwa hawajafunguka, maana wanaume wengi wanaona na kumezea tu.
Nikija kwenye swali lako la pili hapo kwa bold. Kinachopelekea hivi ni kwamba wanaume wengi tuna vitu similar ambavyo tunavipenda kwa mwanamke. Wengi tunapenda figure, reception, miguu, wowowo, etc. Na wanawake kwa kuligundua hili ndo maana wengi wako bize kuweka sawa reception zao, figure hata wengine wanadiriki ku-create artifificial wowowo.
Angalizo: pamoja na kuwa na vitu similar haimaanishi wote watapenda kufanya naye mapenzi. Of course, wapo watakaoenda ktk extent hiyo, lakini pia wapo ambao hupenda ku-appreciate uumbaji wa Mungu tu basi. Kwa mfano binafsi nampenda wema kwa figure, reception etc, (kiukweli muonekano wake ni mvuto kwa wanaume wengi) lakini hata wakinipa na ghorofa juu siwezi lala naye! Hii ni kwa sababu ni hafiti kwenye hatua ya pili (baada ya kumuona kwa macho) niliyoieleza kwenye last comment yangu hapo juu
queen Latifa ana umbo zuri? Kwani hana mvuto?
Uzuri ni mjumuisho wa mpangalio wa umbo na sura ya mtu.
Mvuto ni mjumuisho wa uzuri na tabia.
Kwa kizungu si ndio kuna 'beauty' na 'sexy'?
Unaweza ukawa si mzuri sana wa sura na bado ukawa na mvuto, mwanamke mwenye kujiamini na akili anakuwa na mvuto zaidi.
Ndo maana kuna saa unamsikia mtu analalama 'beauty with no brain'
Kaunga we are of the same type. binafsi siwez kumuona mtu at first site na kumtamani lazima nikutane naye several times ila pia kwangu mimi mwanaume ambaye ana body physique niipendayo, sura nzuri na mwenye kuwa na heshima kwa mwanamke ananivutia uongo dhambi. ishu ya kwa rum yuko je hiyo huwa siangalii kamwe manake najua haya tutafundishana tu hata kama hajui mfyonzo na mavibration tutafundishana tu.Yaani niko kapa hapa ndio maana hata nashindwa kuchangia! Labda uniulize nakuwa attracted na mwanamume wa aina gani, si ndio kuvutiwa?
1st it doesn't happen mara moja tu, say namuona halafu chini kunapwita. It happened once na nikamshirikisha mtu wa Mungu mmoja, akaniambia the guy ni mfanya biashara alikuwa na midawa so after maombi it went away mpaka kesho.
So back to how l get attracted to a person, 1st he has to be able to make me laugh, awe anaonesha kunijali na kunisikiliza hata my silly nothings; physical build up is a plus, ya chumbani it takes two to tango!
gfsonwin jibu la swali lako la kwanza hapo kwa red ni big YES, ngoja nikupe mfano kidogo wa experience yangu. Mwaka juzi nilikuwa na rafiki zangu watatu (so mi wa nne) kwenye daladala maeneo ya Mwenge. Tulikuwa tumekaa siti za nyuma kabisa, hivyo kila aliyeingia na kutoka tuliweza kumuona vizuri. Tulipofika kituo fulani aliingia mama mmoja hivi (hakuwa binti na alionekana kabisa kuwa ameolewa , siyo kwa kuangalia pete lakini). Honestly alikuwa mzuri kweli kwa macho yangu by looking, figure, reception, miguu, dressing etc. Baada ya kama vituo vitatu vinne hivi yule mama akashuka. Basi mi nikajiachia kwa kutamka (nawambia rafiki zangu), mmh aisee yule mama ni mzuri kweli kweli hata siwezi kumuoa! Huwezi amini ilikuwa kama walikuwa wananisubiri nifungulia mjadala. Kila mmoja wetu alikubali kuwa mama yule ni mrembo kweli kweli! sema tu walikuwa hawajafunguka, maana wanaume wengi wanaona na kumezea tu.
Nikija kwenye swali lako la pili hapo kwa bold. Kinachopelekea hivi ni kwamba wanaume wengi tuna vitu similar ambavyo tunavipenda kwa mwanamke. Wengi tunapenda figure, reception, miguu, wowowo, etc. Na wanawake kwa kuligundua hili ndo maana wengi wako bize kuweka sawa reception zao, figure hata wengine wanadiriki ku-create artifificial wowowo.
Angalizo: pamoja na kuwa na vitu similar haimaanishi wote watapenda kufanya naye mapenzi. Of course, wapo watakaoenda ktk extent hiyo, lakini pia wapo ambao hupenda ku-appreciate uumbaji wa Mungu tu basi. Kwa mfano binafsi nampenda wema kwa figure, reception etc, (kiukweli muonekano wake ni mvuto kwa wanaume wengi) lakini hata wakinipa na ghorofa juu siwezi lala naye! Hii ni kwa sababu ni hafiti kwenye hatua ya pili (baada ya kumuona kwa macho) niliyoieleza kwenye last comment yangu hapo juu
Kuna wanawake ni wazuri banaa ukiangalia sura, umbo la kukata na shoka, miguu iliyoshiba na wowowo la hali ya juu. Akiwa anatembea basi utapenda aendelee kutembea tu huku ukiendelea kuadmire kazi ya Muumba wetu, halafu kama anajua miondoko ya madaha basi ndio unabaki hoi bin taabani.
nyumba kubwa hapa umenena vyema kumbe kuna kuvutiwa kwaajili ya kutoa starehe na kuna kuvutiwa kwa kuwa private wife. nafikir hapa ndipo watu wengi tunapofanya makosa sana. wengi sana vijana wanajikuta wameangukia katika mahusiano ya kuvutiwa pasi kujua amevutika kwasababu gani.Hiyo ndiyo point. Kuna kuvutiwa kwa kukubali kazi ya muumba; na kuvutiwa kuwa na serious relationship na mtu.
Wenye maumbo namba nane mara nyingi wanaume hawawachukilii serious; wanapenda ku past nao time tu si kuwaoa. Unless wawe wagumu kweli na wajitahidi ku prove kwa jamii kwamba wao si chombo cha kufurahisha wanaume.
Ila Wema si mfano wa umbo la kumtisha mtu kumfanya mke. Kinachimfanya Wema atishe ni kujulikana kwake (star) na tabia yake. Angekuwa nobody mbona umbo lake linafaa kuwa private wife (Lol)
gfsonwin,nimekuja hapa kujibu swali lako halafu nirudi ndani,Kaunga amenuna!Hakuna mvuto wa upendo ila kuna upendo.Upendo ni ufahamu,mtu anajulishwa na kuuishi tangu kwenye familia.Hii ndio silaha ya maisha bora popote pale.Ukiujua upendo utapata furaha,ukipata furaha unajua maana ya maisha!
Ero ero hii post haina maana yeyote kama mtu asiposoma hapo kwenye red!! wajinyonge kwa bigijii sio, kam zis wei ero..................Ohooooooo nimekumbuka sikuwezi kha
haya platozoom sasa hapa tunakwenda sawa kwamba mvuto huleta hisia na hzi huweza kuwa common ama siyo common. lakin mfano wewe ukikutana na mwanamke mwenye mvuto say kama mimi gfsonwin halafu mvuto wake uko kwenye manners zaid like ninavyoongea( sauti), kula, kuangalia nk ila kwa umbo na sura ukakutana na Erotica mwenye umbo la kilatino ambalo ukilivutia hisia kwa bed ni tamu kuliko hili la gfsonwin ambalo ni la kibantu zaid. je hapo wewe binafsi utavutiwa na yupi?
Erotica mimi basi sijui nikoje to me wema siyo mzuri kama jokate ila she is worthy sexy than Jokate. na ndio maana she can draw mens attention than lakin pia jackline wolper ni mzuri sana sana but hana mvuto kama alivyo fideline Iranga. tuachanae nao hao turudi kwenye point ya msingi sasa hapa hivi mwanamke aweza kutengeneza mvuto?