Mvuto kwa mwanamke ni kweli?


sasa kaka yangu wa moyoni platozoom tunakwenda sambamba ila hebu nijibu swali hili hapa, hivi mvuto ama uzuri wa huyu mwanamke at first eye utaangalia nini? je ni zile features unazozipenda ama zile wenzio wanazosema ni nzuri ama hauna sababu nyuma yake?
 
Last edited by a moderator:

asikudanganye mtu. unadhani ni kwa nini wanawake wengi ni waoga kuvua nguo wakati wa kufanyana?
mara alalame boobs zake zote za kushoto. mara alalame tumbo lake lina mstari, mara alalame hips zake za chini.
mtu yeyote aliye huru akiwa uchi wa mnyama huyo mtu yupo more confident akivaa nguo. sbb nguo
zinaziba yale yote ambayo wanawake huwa twalalama aviko sawa miilini mwetu. huyo dada hata akivaa
nguo anaonekana kuwa atakuwa na mvuto hata hivo sina hiyana. umemuona huyu?
nae sio mzuri kivile, lkn ana mvuto ambao mwanaume yeyote anayependa kufanyana anatamani avue hizo nguo.

 
mkuu umesema vizuri sana lakini hapa naongelea kitu ambacho ni seen, kweli mvuto kwa mwanamke upo?

Wakusema upo au haupo ni mwangaliaji (decoder) from (encoder) anaeangaliwa. its a matter of right signal at a right channel kwisha kazi.
 

yaani Purple hapa umenena kitu kizuri sana na nafikiri hata BAK kashindwa kukielezea ingawa kwa sentensi zake ni kama alikiwaza. but hebu nijibu kaswali haka tu hivi wewe kwa jicho la kwanza mvuto hukaa kwenye nini? sijui umenielewa?
 
Last edited by a moderator:


sasa shostito Erotica hapa umeleta kitu kizuri kweli ambacho nlitamani kijitokeze ili kijadiliwe. hivi mvuto wa mtu waweza kuondoka awapo mtupu? provided kwamba hana kilema ambacho chaweza kupoteza hisia?
 
Last edited by a moderator:
kwani Ruta huu mvuto umekaa kwenye nini? je nikujipamba ama ni umbo ama ni sauti ama nitabasamu ama ni nini hasa? na je kitu hicho kinchomvutia mwanaume mmoja chaweza kumvutia na mwingine? na je mvuto huu hunogesha mchezo au la?

kwangu mimi ni umbo na sura!

Na mvuto unogesha mchezo sababu mtu kama hakuvutii hata kwenye mchezo huwezi hisi raha yeyote.
 
Uzuri au mvuto is on the eyes of the beholder. Anaweza kuwa na mvuto kwako kwa mwenzio akawa kawaida sana, au kinyume chake. Wengine wanavutiwa na miss bantu na wengine english figure. Hakuna general rule ya mvuto au uzuri
 
me huwa nasikia kuwa kuna mwanamke ana mvuto bt co mzuri, kuna mwingne ni mzuri bt hana mvuto na kuna mwanamke ana mvuto na ni mzuri pia. ngoja waje wanaume wakudadavulia vzr!
 
me huwa nasikia kuwa kuna mwanamke ana mvuto bt co mzuri, kuna mwingne ni mzuri bt hana mvuto na kuna mwanamke ana mvuto na ni mzuri pia. ngoja waje wanaume wakudadavulia vzr!

kweli bi dada charminglady tusubiri watudadavulie. lakini je swali la kizushi hujawah kuvutiwa na mkaka?
 
Last edited by a moderator:
sasa shostito Erotica hapa umeleta kitu kizuri kweli ambacho nlitamani kijitokeze ili kijadiliwe. hivi mvuto wa mtu waweza kuondoka awapo mtupu? provided kwamba hana kilema ambacho chaweza kupoteza hisia?

watu vitu ambavo vyatusababishia kuhemkwa na kutaka kungonoka vina vary.
kuna wengine mwanamke hata awe mrembo vipi bt kavaa nusu uchi as their per say hawi turned
on kabisaa. sbb wengi katika akili zao mbovu wanaona kama huyo mwanamke bidhaa yake
imekaa kimtindo wa 'for sale' sio sbb kavaa nusu uchi kapungua uzuri. ila sabb wazo la kusema midume
myenzie inamalala huyo binti kama vile ambavo wanafanya wakijisikia kunywa bia inammaliza kabisa hamu.
hata ajaribu anyanyue mb*** yake kwa style yoyote inagoma. kungwito hili walijua ww zaidi.
jinsi mawazo yanavo athiri saikoloji. na jinsi saikoloji inavoathiri kifanyio cha m/me. kwa hio inategemea.
 
kwangu mimi ni umbo na sura!

Na mvuto unogesha mchezo sababu mtu kama hakuvutii hata kwenye mchezo huwezi hisi raha yeyote.

haya kaka yangu rutta kumbe mvuto hunogesha mchezo? je kama anavutia halafu madaha ya mchezo hana huo mchezo utanoga?
 
Last edited by a moderator:

Ngoja nisimame kwenye viatu vyangu halafu nikujibu: Kwanza ni vigumu kupata jibu linaloshikika kwa sababu moja nitakayoileza......

Ni hivi inatokea navutiwa na mwanamke fulani tumwite B kutokana na anavyo-behave (anaongea kwa adabu nazozipenda) lakini wakati huohuo sivutiwi na mwanamke X mwenye tabia hiyohiyo!!

Kuna mwanamke mwenye figure nzuri sana (ya bantu-nilotic) nayoipenda.. navutiwa naye lakini wakati huohuo nakutana na mwenye the same figure lakini anaongea hovyo...siwezi kuvutiwa naye n.k...Na hili siiamrishi ila ni nguvu toka ndani nsiyoweza kuizuia

Sasa inawezekana wenye hulka kama yangu wapo kwa hiyo sote tutaonekana tunavutiwa na aina hiyo ya mwanamke.....Ingawa watakuja wengine na mtazamo tofauti kabisa, na wao wana wanaofanana nao.

Muhimu kumbuka mvuto hauanzii nje ya mtu ..inaaanzia ndani ya 'moyo' ni hisia ambazo huwezi kuzitengeneza bali zinajijenga!
 
me huwa nasikia kuwa kuna mwanamke ana mvuto bt co mzuri, kuna mwingne ni mzuri bt hana mvuto na kuna mwanamke ana mvuto na ni mzuri pia. ngoja waje wanaume wakudadavulia vzr!


Wema Sepetu na Jockate ni wazuri, Flaviana Matata ana mvuto sio mzuri kivile.

Lisa Jensen ni mzuriiiiiiii mno, ila ajabu mvuto wake sio mkali kama

Jockate na hali ni mzuri kuliko Jockate. umeona mamito?

Ila sorry to say mimi ni mzuri mno na nina mvuto mno. hadi najionea huruma. teh teh
 
yaani Purple hapa umenena kitu kizuri sana na nafikiri hata BAK kashindwa kukielezea ingawa kwa sentensi zake ni kama alikiwaza. but hebu nijibu kaswali haka tu hivi wewe kwa jicho la kwanza mvuto hukaa kwenye nini? sijui umenielewa?

kusema kweli hata mie hua najiuliza sana hili swali, sidhani kama mvuto unaonekana?!?bali mvuto unahisiwa (utanisahihisha if am wrong)yani ukimuona mtu unajihisi kuvutiwa nae sometimes bila hata kujua sababu..
 
Last edited by a moderator:
Mi nafikiri wanafata 'kidude' tu. Kama mpaka chizi mwanamke anazalishwa, ni nini tena hapo?
 
 
Muonekano kuanzia juu hadi chini hii inahusisha pia mavazi ya kimahaba, titi la saa sita, umbo namba 8, mguu wa bia. Vingine malizia...
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…