Mvuta bangi!!!

Amina Thomas

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2008
Posts
272
Reaction score
130
Mvuta bangi kaposa mtoto wa
kike mwembamba sana.
Siku ya harusi mama mtu
akamzungushia mwanae
magazeti apate kuonekana
kajazia.
Harusi ikapita, Muda wakulala
ulipofika jamaa akataka haki
ya ndoa kumvua nguo akakuta
gazeti kila akichana anakuta
gazeti lingine akachoka!!
Akauliza kwaukali kwani vipi?
Bibi harusi akajibu sijui
mama...!!
Jamaa akampigia simu mama
mkwe...
Hallow mamamkwe... Uchi wa
mwanao upo ukurasa wa
ngapi?.
 
Funua funua mpaka palipoandikwa maoni ya mhariri utauona.umetisha mkuu.
 
kwn hakukuwa na vichwa vya habar? na kuraxa ya habari? aiseh itz too funny congrtrtn
 
Nimeipenda sana. Ila hapo alipoanza kukuta magazeti nilifikiri joke ingeenda hivi: Kwa kuwa bwana harusi alikuwa mvuta bangi, alipoona magazeti yemesokotwa alichukua kibiriti na kukiwasha akidhania kapata msokoto wa siku! Anyway, jokes do not end in the way you expect them to. thanks
 
Hahaha nimecheka mpka wananishangaa
 

Oh shiit !! he missed the page !! hajui kusoma gazeti.
 
moja ya majukwaa yanayoniongezea siku hapa jf..ni hili .....nimekubal
 
Hiyo ni kiboko ya mwaka 2013. Come again 2014.
 

C mchezo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…