Hahahahaha...waambie wasiogope yalikua manyunyu makubwa makubwa tu!!Hizi data za mvua unastua watu !
Kuna jamaa zetu wametoroka Magwepande, wakisikia mambo ya mvua wanazeeka fikra ghafla .
Yeahhh it was pretty nice...sema jioni joto kama kawa!!Mi binafsi naenjoy leo maana jiji lilishanichosha na joto hadi nkapamiss arachuga....I'm now happy
Poleni na nyie....Poleni kwa Mvua, sie tulioko huku Magharibi ya Mbali ni Baridi ya Hatariiii.
Mi mzima wa afya Trachie...vipi wewe?!Lizzy...
Kwanza habari yako.. Za siku? Uko poa? Long time...!
Haya naomba nikuswalike..Umeenda bongoo..au umefuatilia vyombo vya habari juu ya hali ya hewa?
I know...ina makusudi kweli...sema angalau iliisha mapema!!mvua ya kichokozi hii.. Hainyeshi weekend, halafu inatafuta that specific day in a mid week where u got so many plans ndo inanyesha..
Hahaha...I think i'll pass maana vitisho vya kumwagiwa tindikali vimezidi!!worry not mpendwa,i know what you mean,next time ikinyesha just tap bishanga,a man of all seasons!
Pole mwaya...ngoja nikuombee idondoke ya nguvu!!I miss the rain... huku mlali hakunyeshi! na ikinyesha ni manyunyu tu!
You are right Doc...but sometimes the timming is just not right!!Mvua inaponyesha, ardhi inapoa. Ardhi inapo poa nayo inapoza hewa. Hewa inapo poa inaburudisha. Unapo burudika, unakuwa na furaha.
Yataka utafakari kwa makini ndipo uzijue neema za muumba wetu.
You are right Doc...but sometimes the timming is just not right!!
sababu ni wengi tulio na magari hatupiti zile "panya routes" ambazo kipindi cha mvua nyingi hazipitiki kwa kuwa na madimbwi ya maji"
Hilo nalo neno na sijui kwa nini, pia mi huwa najiulizaHivi kwa nini mvua ikinyesha dar foleni pia inaongezeka.
barabara zinajaa maji hivyo huwalazimu drivers kupunguza mwendo kuongeza umakini na kuepusha ajaliHilo nalo neno na sijui kwa nini, pia mi huwa najiuliza
Naunga mkono hojaNani anafurahia mvua ya leo Dar?!I'm NOT!!
Yani hali ya hewa inakua nzuri maana joto linapungua sema natamani ingenyesha siku ambayo sina mizunguko nitulie zangu ndani.Au ingenyesha kidogo tu kama jana....