Monasha
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 563
- 423
SIKILIZA HII..Baba: Halloo mke wangu.. yaani ni shida sitaweza kurudi nyumban, daraja limevunjika na kutoka morogoro kurudi dar haiwezekaniMAMA: Mme wangu morogoro ulienda bila kuniaga! ?BABA: Ilikuwa ni ghafla sana mke wangu sikuweza kukwambiaMAMA: kha! Sasa watoto nani atawaangaliaBABA: Unasemaje! We uko wapi kwanMAMA: Niko bagamoyo na daraja limeondolewa na maji sitaweza kurudi.BABA: Unasemaje we mwanamke.. nakwambia nikukute nyumban ndani ya dk 15Baada ya dk 15 Baba kafika nyumban.MAMA: Haya umefkaje kutoka morogoro?BABA: Nimepewa lift na helkopta ya rais