Mvua za Masika Updates: Hali ikoje huko ulipo?

Mvua za Masika Updates: Hali ikoje huko ulipo?

Kwa huku Manyovu Kigoma hali ni mbaya sana,barabara hazipitiki.
 
Wakuu,

Mvua imekubali, usiku wa kuamkia leo Machi 14 mvua imepiga kwelikweli, na mpaka sasa Dar bado inaendelea kunyesha, japokuwa speed imepungua.

Huko ulipo kuna hali gani? Njia zinapitika? Kuna palipotokea maafa? Tupeane updates kwa walio na changamoto wapate msaada haraka.
Shem wakaa Dar pande gani
 
Back
Top Bottom