Mvua za Masika Updates: Hali ikoje huko ulipo?

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,832
Reaction score
7,683
Wakuu,

Mvua imekubali, usiku wa kuamkia leo Machi 14 mvua imepiga kwelikweli, na mpaka sasa Dar bado inaendelea kunyesha, japokuwa speed imepungua.

Huko ulipo kuna hali gani? Njia zinapitika? Kuna palipotokea maafa? Tupeane updates kwa walio na changamoto wapate msaada haraka.
 
Cute Wife Hali ya sasa ni baridi tu na hakuna hata back up ya joto

Njia zinapitika kama kawaida 😋😋😋
Au labda niwe sijaelewa hili swali.

Changamoto ipo tena kubwa sana sana maana kwa sisi watu wa ma ant inasikitisha maana mpaka sasa mtu awezi kuja anasema mvua mvua mvu 😭😭😭😭
 
Si mnasemaga mishangazi imenyooka imekuje tena 😀
 
Huku Mabibo-Ubungo hali ni shwari tu hakuna maafa hadi mda huu

Kijimvua cha kubembeleza tu ndo kinaendelea kunyesha

Watu wanaendelea kupambana kusaka mkate wao wa kila siku
 
Kwan kwako hapafikiki mvua ikinyesha akifika ameloa si ndio vizuri
Au mnaenda hotel 😎
Daaah we sio rahisi hivo.
Alafu zingatia leo ni siku ya kazi pia ...

Hapa labda useme mimi ndio niende na hapa nasubri kamvua kapoe ili niende nikajipoze kidogo.
Maana kasema niende tuu
 
Cute Wife Hali ya sasa ni baridi tu na hakuna hata back up ya joto

Njia zinapitika kama kawaida 😋😋😋
Au labda niwe sijaelewa hili swali.

Changamoto ipo tena kubwa sana sana maana kwa sisi watu wa ma ant inasikitisha maana mpaka sasa mtu awezi kuja anasema mvua mvua mvu 😭😭😭😭
Mkuu unawanza uzinzi tu😂😂😂 kama uko salama ni vizuri
 
Daaah we sio rahisi hivo.
Alafu zingatia leo ni siku ya kazi pia ...

Hapa labda useme mimi ndio niende na hapa nasubri kamvua kapoe ili niende nikajipoze kidogo.
Maana kasema niende tuu
Unaenda nyumba umenunua wewe ?
Kodi unalipa wewe?
Jichanganye wa ku mafwele🫣😁
 
Huku Mabibo-Ubungo hali ni shwari tu hakuna maafa hadi mda huu

Kijimvua cha kubembeleza tu ndo kinaendelea kunyesha

Watu wanaendelea kupambana kusaka mkate wao wa kila siku
Saaafi
 
Back
Top Bottom