Hiyo neema kabisa... I wish ingekuwa bongo...! Na hii njaa tuliyonayo
Yabidi kuwa makini kidogo .... wawezabeba na machatu!Hao jamaa badala ya kutafuta mifuko wajaze samaki wanazubaa tu mwisho samaki wataharibika bure
Hahahahahapo zingedondoka na nyanya mambo yangekuwa murua kabisa
Hakuna kitu kama hicho ni gharika iliyotapishwa na bahari na kuingia mtaani ikisomba samaki na uchafu mwingine wa baharini...ni habari ya kitambo hii!
Hiyo itanyesha Lumumba mkuuDhambi zinapozidi hivi ipo siku itashuka mvua ya kinyesi