mvua ya 'mawe' arusha

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
maeneo ya katikati ya jiji la arusha kuna mvua kubwa ya ''mawe'' inaendelea .nina uhakika hii ni ishara ya ukombozi.
 
Dah mbona nasikia ngurumo tu....
Naona haijaanza kuanguka kwa huku niliko ila radi zinakata umeme kila zinapopiga....
Ukombozi huoooo
Ngoja nizame zangu Arumeru faster
 
Mvua ya mawe imenyesha wapi bwana na wewe wakati ni mvua ya kawaida tu? Embu acha kuongeza chumvi.
 
Back
Top Bottom