rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,186
- 4,826
Huyu mama hakuna hata siku moja utabiri wake ukawa kweli. Namshauri akae kimya na heshima yake itabaki na mshahara atalipwa bila tatizo lolote.
Hiki kitendo cha kujitokeza kwenye vyombo vya habari kila siku na stori za mvua nyingi, kwangu mimi zinaniondolea imani na huyu mama na taasisi yake.
Hiki kitendo cha kujitokeza kwenye vyombo vya habari kila siku na stori za mvua nyingi, kwangu mimi zinaniondolea imani na huyu mama na taasisi yake.