Mvua na radi ya kutisha inanyesha sasa hivi!

Huku umeme upo kama kawa ila radi kama air force one kwa mikelele
 
Watu walidhani mamlaka ya hali ya hewa inatania au inahujumu wakazi wa mabondeni kuhusu mvua za El-nino...Sasa hii mvua ndio inathibitisha kuwa mamlaka ya hali ya hewa haikuwa inafanya mzaha.

Na pia serikali ilivyokuwa ikiondoa wakazi wa mabondeni kwa haraka vile ilikuwa inajua what's best for them...Lakini ujuaji mwingi umefanya hadi leo hii wakazi wa mabondeni waendelee kubaki huko.

Yule mbunge wa CUF wa hapo Kinondoni ataweka wapi uso wake!?
 
Walisema tangu juzi
ImageUploadedByJamiiForums1453259624.965781.jpg
 
Watu walidhani mamlaka ya hali ya hewa inatania au inahujumu wakazi wa mabondeni kuhusu mvua za El-nino...Sasa hii mvua ndio inathibitisha kuwa mamlaka ya hali ya hewa haikuwa inafanya mzaha.

Na pia serikali ilivyokuwa ikiondoa wakazi wa mabondeni kwa haraka vile ilikuwa inajua what's best for them...Lakini ujuaji mwingi umefanya hadi leo hii wakazi wa mabondeni waendelee kubaki huko.

Yule mbunge wa CUF wa hapo Kinondoni ataweka wapi uso wake!?
Mbunge wa CUF hajalazimisha watu waishi mabondeni. Inaonekana hata hio kesi hujui inahusu nini walichodai mahakamani. Be objective acha siasa mahali penye sheria.
 
Poleni wala vumbi Mungu hawaepushie mbali na mafuriko tupo pa1 katika sala
 
Du kweli TANESCO wameionja Hapa Kazi Tu, umeme umerudi saa hizi.
Zamani ndo ingekuwa hadi mtondogoo!
Mvua inanyesha kistaarabu, lakini hii ndo inaelekea mpaka mchana au vipi!
 
Kwa karibu zaidi ya nusu saa sasa hivi, mvua kubwa sana inanyesha.
Radi na upepo unavuma hadi naogopa.
Umeme umekatika na sijui watu wa mabondeni itakuwaje?
Niko mitaa ya Kinondoni kaskazini, asubuhi itakuwa bonge ya foleni!

Walio bomolewa wamesalimika?
 
Watu walidhani mamlaka ya hali ya hewa inatania au inahujumu wakazi wa mabondeni kuhusu mvua za El-nino...Sasa hii mvua ndio inathibitisha kuwa mamlaka ya hali ya hewa haikuwa inafanya mzaha.

Na pia serikali ilivyokuwa ikiondoa wakazi wa mabondeni kwa haraka vile ilikuwa inajua what's best for them...Lakini ujuaji mwingi umefanya hadi leo hii wakazi wa mabondeni waendelee kubaki huko.

Yule mbunge wa CUF wa hapo Kinondoni ataweka wapi uso wake!?
We hammy D hebu kuwa mwenye fikra kidogo!
Wale watu wa mabondeni wamehamishwa au wamevunjiwa?
Sasa mvua hii wao watakuwa wamelala na kuhifadhi vitu vyao wapi?
Wanasuffer tena labda zaidi ya hapo awali, wapo labda waliosombwa na maji maana bado waliendelea kulala ktk matofali yao! Mafuriko yanachukua time kujaa ndani ya nyumba lkn ukilala nje, maji yanakubeba instantly!
Tuwaombee kwa Mungu tu hao ndugu zetu kwa kuwa maisha waliyoishi na wanayapitia sasa yote ni mitihani tu!
 
Watu walidhani mamlaka ya hali ya hewa inatania au inahujumu wakazi wa mabondeni kuhusu mvua za El-nino...Sasa hii mvua ndio inathibitisha kuwa mamlaka ya hali ya hewa haikuwa inafanya mzaha.

Na pia serikali ilivyokuwa ikiondoa wakazi wa mabondeni kwa haraka vile ilikuwa inajua what's best for them...Lakini ujuaji mwingi umefanya hadi leo hii wakazi wa mabondeni waendelee kubaki huko.

Yule mbunge wa CUF wa hapo Kinondoni ataweka wapi uso wake!?
cheap politics
 
Back
Top Bottom