Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Tulikua tunalilia mvua lakini tangia Jana mchana ishakua kero hapa kitaa, tangia asubuhi inanyesha watu tunashindwa kwenda kwenye mishe mishe, tumekaa tu ndani halafu mvua yenyewe ile ndogo ndogo inayochelewa kuacha, huku maeneo ya Nyegezi, SAUT kero tupu.