Mvua kubwa kanda ya ziwa!

Mvua kubwa kanda ya ziwa!

Mkuu kanda ya ziwa kubwa na Mwanza kubwa. Unaongelea sehemu gani?nilipo kuna wingu la kutosha ila hamna mvua iliyonyesha usiku zaidi ya jana mchana
Kisiwa chote cha Maisome, Sengerema na jirani zetu Geita na Kagera.
 
Aisee,.sasa hawa TMA mbona hawaeleweki,walisema tujiandae na ukame maana hakutakuwa na mvua yoyote..sasa hizi zinazonyesha ni nini,.au walitabiria Zimbabwe....??

Poleni sana wana kanda ya ziwa,.
Mbona walishatabiri kila kitu na jambo hili waliliona

Sent using unknown device
 
Back
Top Bottom