Kumbe hii mvua imenyesha Dar yote eeh .....??Habari zenu wakuu
Tangu asubuh mvua kubwa inaendelea kunyesha sehem mbalimbali za Dar es Salaam
Naomba tuendelee kupeana updates ya madhara ya mvua hii,kama tujuavyo ni kawaida ya mvua ikianza kunyesha Dsm huambatana na kadhia mbalimbali
Karibuni
kuna jamaa angu alikuwa ameenda huko posta...kanambia tayari! bonge la mvua halafu barabara hazieleweki
Pande za Ubungo mkuu...hakufai yaani..asante sana kwa taarifa mkuu....wapi pande hizo?