Mvua kubwa gongolamboto

Mahema yameangushwa na upepo watoto wadogo wanalowa ili hali wagodoro na vifaa vingine vikiwemo chakula vimelowa
 
Tafuteni namna ya kujiokoa maana mwenye nchi yuko busy anaokoa maisha ya watu wa ivory coast
 
hayo mabomu lazima ndio chanzo koz hule moshi ulioluka kwa hewa cjui kama ucngeleta madhara ka haya:rain:
 
Back
Top Bottom