Rajab mrutu
New Member
- Feb 3, 2013
- 4
- 0
Nibaada yakunyesha takribani masaa sita. Watu wengi wameshidwa kwenda makazini kwa muda husika nahivyo kupelekea siku ya leo kuifanya mapumziko. Wengi wao niwale wanaofanya biashara maeneo ya wazi.
Inyeshe tueshimiane tu ila nina hofu na mimba tutarajie vitambi vya kinamama wengi mwezi 12